Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Ndio maana nilikuuliza huko nyuma kwenye vigezo,soma post yangu #33 ,
Hueleweki,nimetoa mifano ya Chelsea na Barca ukasema,its la liga na Epl sio Barca na Chelsea now natoa mifano ya Serie A na Bundesliga still unakwepa
Organize data zako vizuri then utoe tamko lako vizuri,umesema unaangalia matokeo ya hizo timu recently nikakwambia.
Chelsea hakuwa bingwa wa EPL,bingwa wa EPL alikuwa ManCity so Barca alifungwa na timu iliyofungwa na timu iliyoshika nafasi ya 5
Atletico Madrid alimfunga Chelsea,kwa hiyo unataka kusema kwamba Atletico ni wazuri kuliko Barca kwa kigezo Barca kafungwa na Chelsea na Chelsea kafungwa na Atletico?
Bila vigezo hapa tutaendelea kubishana kishabiki tu ila huhitaji statistics kukwambia kuwa for now La Liga is superior to EPL