La Liga vs EPL.

La Liga vs EPL.

Ndio maana nilikuuliza huko nyuma kwenye vigezo,soma post yangu #33 ,

Hueleweki,nimetoa mifano ya Chelsea na Barca ukasema,its la liga na Epl sio Barca na Chelsea now natoa mifano ya Serie A na Bundesliga still unakwepa

Organize data zako vizuri then utoe tamko lako vizuri,umesema unaangalia matokeo ya hizo timu recently nikakwambia.
Chelsea hakuwa bingwa wa EPL,bingwa wa EPL alikuwa ManCity so Barca alifungwa na timu iliyofungwa na timu iliyoshika nafasi ya 5

Atletico Madrid alimfunga Chelsea,kwa hiyo unataka kusema kwamba Atletico ni wazuri kuliko Barca kwa kigezo Barca kafungwa na Chelsea na Chelsea kafungwa na Atletico?

Bila vigezo hapa tutaendelea kubishana kishabiki tu ila huhitaji statistics kukwambia kuwa for now La Liga is superior to EPL
 
EPL na La Liga kama zilivyo hapo kwenye title ya thread ni majina ya league mbili tofauti na naamini Belo alikua na nia ya kupata views zetu ili kuona ligi ipi ni bora japokuwa yeye mwenyewe amekua biased toka mwanzo, ameleta mjadala wakati ameshatoa conclusion! Anyway, naamini huwezi kutumia matokeo ya uwanja tu ku determine ubora wa ligi. Its like unasema kwa kuwa Barcelona alifungwa na Celtic kwenye CL basi league ya Scotland ni bora kuliko La Liga!

Kutakua na justification ya madai ya washabiki wengi wa La Liga hapa kama tungekua tunajadili ubora wa timu na sio ligi. Kila siku huwa nasema league bora duniani iko England lakini timu bora duniani ipo Spain. Timu za spain nyingi zina technical superiority na wachezaji wenye skills ukilinganisha na timu nyingi za EPL ambazo zinategemea zaidi physicality (msuli) na speed. Hili halina ubishi- timu za Spain zinaibuka kidedea hapa, chukulia timu kama Sevila tu(ambao wako nafasi ya 10 la liga ) kwa mfano wacheze na any of the top 4 wa EPL, wanaweza wakashinda kirahisi. Sasa rudi EPL uwachukue Fulham (Currently 10th EPL) uwapambanishe na any of the top 4 uone watakavogalagazwa!

Mtazamo wangu kwenye ubora wa ligi hautabadilika, its EPL all the way! EPL imetoa mwakilishi kwenye final ya CL tangu msimu wa 2004/04 hadi 2011 (Ukiacha 2009/10 tu), huu ni ushahidi kwamba the top 4/5 kwenye EPL are very strong normally, they can compete with anyone in the world.

EPL ndo league maarufu kuliko zote duniani na inatazamwa na watu wengi kuliko ligi yoyote duniani, hata uende huko kasulu na kibondo utakuta vitoto vidogo vinakutajia list ya Man au Chelsea! Popularity, kama la liga ni bora kuliko EPL kwanini sio popular? Si na yenyewe inaonyeshwa kwenye TV na kuandikwa magazetini?. Huko La Liga kabla league haijaanza unajua tu kuwa atakayechukua kombe ni either Madrid au Barca! Hakuna competitiveness, its so predictable. Na I must say gap kati ya timu hizi mbili uki compare na the rest ni kubwa mno (I can see Malaga na Atletico wanajaribu kubridge hiyo gap). Naskia more than 50% ya mapato yanaishia kkwa hawa wababe wawili na kinachobaki ndo kinagawanywa kwa timu nyingine- talk about unfair distribution of income. Na sasa kumeibuka kitu kibaya kingine kuhusu La Liga- its becoming about 2 players! There is a problem kama mchezaji mmoja anafunga mora than 80 goals in a season katika karne hii! Mchezaji huyo huyo ndo anapiga hatrick kila wikiendi? Isn't this boring?How many times hawa jamaa wakicheza na timu za chini wanawapiga 4/5/6? Yani wakifungwa au kutoa draw if they are not playing against each other, its a shock! Ndo maana mimi miaka mingi nimekua naangalia el classico tu, whats the point in watching other games wakati unajua timu itakayoshinda? Angalau kwenye EPL mwanzoni mwa league unaweza kupata shida kidogo kutabiri who the top two-three are going to be, na Man U au City kupigwa na Wigan au Southampton ni vitu vya kawaida, its unpredictable. Huko Spain pia mmeskia ndugu zenu weusi wanavyokuwa racially abused kila siku na hakuna kinachofanyika!
 
Mkuu Barca ki ukweli hatupo sawa hivi sasa, hata Mourinho hapa ataafiki, baada ya kocha wetu mkuu kuwa katika matibabu. Lakini ManU hakuna aliyekosekana (walikuwa full masinonda) kuanzia benchi la ufundi mpaka mashabiki wake.

kwani kocha ndo anayecheza uwanjani...wachezaji si wale wale formation ni ile ile hata wewe ukipewa barcelona timu utakayoipanga ni hiyo hiyo ya siku zote
 
Hawa ndio wanaitwa mashabiki maandazi kazi yao kupiga kelele tu

wame kaa kishabiki tu ila mwisho wa siku watakuwa wa kwanza kuangalia everton vs totenham kuliko Real Madrid vs atletico madrid
 
kwani kocha ndo anayecheza uwanjani...wachezaji si wale wale formation ni ile ile hata wewe ukipewa barcelona timu utakayoipanga ni hiyo hiyo ya siku zote

aache ushabiki maandazi kabisa barca na madrid ilikuwa 11-11 ila na man utd ilikuwa 10 vs 11
 
EPL na La Liga kama zilivyo hapo kwenye title ya thread ni majina ya league mbili tofauti na naamini Belo alikua na nia ya kupata views zetu ili kuona ligi ipi ni bora japokuwa yeye mwenyewe amekua biased toka mwanzo, ameleta mjadala wakati ameshatoa conclusion! Anyway, naamini huwezi kutumia matokeo ya uwanja tu ku determine ubora wa ligi. Its like unasema kwa kuwa Barcelona alifungwa na Celtic kwenye CL basi league ya Scotland ni bora kuliko La Liga!

Kutakua na justification ya madai ya washabiki wengi wa La Liga hapa kama tungekua tunajadili ubora wa timu na sio ligi. Kila siku huwa nasema league bora duniani iko England lakini timu bora duniani ipo Spain. Timu za spain nyingi zina technical superiority na wachezaji wenye skills ukilinganisha na timu nyingi za EPL ambazo zinategemea zaidi physicality (msuli) na speed. Hili halina ubishi- timu za Spain zinaibuka kidedea hapa, chukulia timu kama Sevila tu(ambao wako nafasi ya 10 la liga ) kwa mfano wacheze na any of the top 4 wa EPL, wanaweza wakashinda kirahisi. Sasa rudi EPL uwachukue Fulham (Currently 10th EPL) uwapambanishe na any of the top 4 uone watakavogalagazwa!

Mtazamo wangu kwenye ubora wa ligi hautabadilika, its EPL all the way! EPL imetoa mwakilishi kwenye final ya CL tangu msimu wa 2004/04 hadi 2011 (Ukiacha 2009/10 tu), huu ni ushahidi kwamba the top 4/5 kwenye EPL are very strong normally, they can compete with anyone in the world.

EPL ndo league maarufu kuliko zote duniani na inatazamwa na watu wengi kuliko ligi yoyote duniani, hata uende huko kasulu na kibondo utakuta vitoto vidogo vinakutajia list ya Man au Chelsea! Popularity, kama la liga ni bora kuliko EPL kwanini sio popular? Si na yenyewe inaonyeshwa kwenye TV na kuandikwa magazetini?. Huko La Liga kabla league haijaanza unajua tu kuwa atakayechukua kombe ni either Madrid au Barca! Hakuna competitiveness, its so predictable. Na I must say gap kati ya timu hizi mbili uki compare na the rest ni kubwa mno (I can see Malaga na Atletico wanajaribu kubridge hiyo gap). Naskia more than 50% ya mapato yanaishia kkwa hawa wababe wawili na kinachobaki ndo kinagawanywa kwa timu nyingine- talk about unfair distribution of income. Na sasa kumeibuka kitu kibaya kingine kuhusu La Liga- its becoming about 2 players! There is a problem kama mchezaji mmoja anafunga mora than 80 goals in a season katika karne hii! Mchezaji huyo huyo ndo anapiga hatrick kila wikiendi? Isn't this boring?How many times hawa jamaa wakicheza na timu za chini wanawapiga 4/5/6? Yani wakifungwa au kutoa draw if they are not playing against each other, its a shock! Ndo maana mimi miaka mingi nimekua naangalia el classico tu, whats the point in watching other games wakati unajua timu itakayoshinda? Angalau kwenye EPL mwanzoni mwa league unaweza kupata shida kidogo kutabiri who the top two-three are going to be, na Man U au City kupigwa na Wigan au Southampton ni vitu vya kawaida, its unpredictable. Huko Spain pia mmeskia ndugu zenu weusi wanavyokuwa racially abused kila siku na hakuna kinachofanyika!
KKN,
At least umetoa mchanganuo ambao mtu anaelewa,mimi sina tatizo kuwa La Liga kuwa bora zaidi cha msingi ni ku-justify kwa kigezo kipi ndio maana post yangu ya mwanzo niliuliza tunatumia vigezo gani?
Then kuna tatizo kuna watu wameanza kushangilia mpira juzi (2005-now) wanajifanya wanajua kila kitu na maoni yao ni ya kishabiki zaidi
 
kwani kocha ndo anayecheza uwanjani...wachezaji si wale wale formation ni ile ile hata wewe ukipewa barcelona timu utakayoipanga ni hiyo hiyo ya siku zote
KOcha muhimu,ni sawa na mwalimu darasani,jiulize kwani bongo si kuna wachezaji wengi wana vipaji kuliko Rooney lakini hawana kucheza team work,mimi nakupa mfano ukichukua hat timu za mtaani spain inayopata kila kitu kocha bora anaejua soka sio wa kuangalia majina na kusikiliza mashabiki au wachezaji wa jukwaa wacheze na sijui simba au yanga,hizo simba na yanga zitakula bao,kuna watu kibao mitaani popote ulimwenguni kwa kuchezea mpira yani control zimelala lakini mpira wa ushindi hawana na hapo ndio utaona umuhimu wa kocha,makocha wenzetu wamepita darasani usidhani kapewa ukocha eti kwa kubwabwaja bwaja maneno matamu kama gutierez,gang chomba,companero,mc tizenga nk la wana fani zao hao.
 
Mpka sasa hivi tunaongea Spain wameshaingiza timu 1 robo final,England matumaini pekee yamebaki kwa Arsenal,na kombe linatua Spain mtanitafuta fainali,kama Barca ikitoka basi Real Madrid la 10 hii timu bora ya karne!
 
Wewe bana wewe bana wewe nimekushtukia...!
 
Mpka sasa hivi tunaongea Spain wameshaingiza timu 1 robo final,England matumaini pekee yamebaki kwa Arsenal,na kombe linatua Spain mtanitafuta fainali,kama Barca ikitoka basi Real Madrid la 10 hii timu bora ya karne!
So kuingiza timu nyingi kwenye robo fainali Champs League ndio kigezo cha ubora? kwa hiyo Ligue One(French League) ni bora kuliko EPL?,Last season Chelsea alikuwa bingwa UCL je EPL ilikuwa bora kuliko La Liga?
 
Swali zuri, kwangu mimi natumia hicho kigezo cha mwisho ktk hivyo ulivyoviorodhesha, ngoja mtoa mada naye aseme ni vigezo vp vya kuzingatia
Mie hupima kwa kutumia vigezo vya 3, 5 na 6.
 
So kuingiza timu nyingi kwenye robo fainali Champs League ndio kigezo cha ubora? kwa hiyo Ligue One(French League) ni bora kuliko EPL?,Last season Chelsea alikuwa bingwa UCL je EPL ilikuwa bora kuliko La Liga?
Mie hili siliafiki kwani kwangu mie bara la Ulaya hapa limetuongopea kwa maana ya 'CHAMPIONS'. Sisi Africa ndio hasa tuna timu bingwa zinazochuana kila mwaka.
 
Mpka sasa hivi tunaongea Spain wameshaingiza timu 1 robo final,England matumaini pekee yamebaki kwa Arsenal,na kombe linatua Spain mtanitafuta fainali,kama Barca ikitoka basi Real Madrid la 10 hii timu bora ya karne!
Hapa mzee mwenzangu mhm!
 
KOcha muhimu,ni sawa na mwalimu darasani,jiulize kwani bongo si kuna wachezaji wengi wana vipaji kuliko Rooney lakini hawana kucheza team work,mimi nakupa mfano ukichukua hat timu za mtaani spain inayopata kila kitu kocha bora anaejua soka sio wa kuangalia majina na kusikiliza mashabiki au wachezaji wa jukwaa wacheze na sijui simba au yanga,hizo simba na yanga zitakula bao,kuna watu kibao mitaani popote ulimwenguni kwa kuchezea mpira yani control zimelala lakini mpira wa ushindi hawana na hapo ndio utaona umuhimu wa kocha,makocha wenzetu wamepita darasani usidhani kapewa ukocha eti kwa kubwabwaja bwaja maneno matamu kama gutierez,gang chomba,companero,mc tizenga nk la wana fani zao hao.
Mkuu, nimetetemeka mno kumsoma mtotowamjini eti kocha si muhimu. Nakushukuru kwa kumpa vidonge vyake japo vichache.
 
kwani kocha ndo anayecheza uwanjani...wachezaji si wale wale formation ni ile ile hata wewe ukipewa barcelona timu utakayoipanga ni hiyo hiyo ya siku zote
Duh!!!!!!! Sina neno zuri kabisa la kukueleza ila tu umenifanya NITETEMEKE kwa hii PUMBA uliyoiweka hapa. POLE SANA.
 
EPL na La Liga kama zilivyo hapo kwenye title ya thread ni majina ya league mbili tofauti na naamini Belo alikua na nia ya kupata views zetu ili kuona ligi ipi ni bora japokuwa yeye mwenyewe amekua biased toka mwanzo, ameleta mjadala wakati ameshatoa conclusion! Anyway, naamini huwezi kutumia matokeo ya uwanja tu ku determine ubora wa ligi. Its like unasema kwa kuwa Barcelona alifungwa na Celtic kwenye CL basi league ya Scotland ni bora kuliko La Liga!

Kutakua na justification ya madai ya washabiki wengi wa La Liga hapa kama tungekua tunajadili ubora wa timu na sio ligi. Kila siku huwa nasema league bora duniani iko England lakini timu bora duniani ipo Spain. Timu za spain nyingi zina technical superiority na wachezaji wenye skills ukilinganisha na timu nyingi za EPL ambazo zinategemea zaidi physicality (msuli) na speed. Hili halina ubishi- timu za Spain zinaibuka kidedea hapa, chukulia timu kama Sevila tu(ambao wako nafasi ya 10 la liga ) kwa mfano wacheze na any of the top 4 wa EPL, wanaweza wakashinda kirahisi. Sasa rudi EPL uwachukue Fulham (Currently 10th EPL) uwapambanishe na any of the top 4 uone watakavogalagazwa!

Mtazamo wangu kwenye ubora wa ligi hautabadilika, its EPL all the way! EPL imetoa mwakilishi kwenye final ya CL tangu msimu wa 2004/04 hadi 2011 (Ukiacha 2009/10 tu), huu ni ushahidi kwamba the top 4/5 kwenye EPL are very strong normally, they can compete with anyone in the world.

EPL ndo league maarufu kuliko zote duniani na inatazamwa na watu wengi kuliko ligi yoyote duniani, hata uende huko kasulu na kibondo utakuta vitoto vidogo vinakutajia list ya Man au Chelsea! Popularity, kama la liga ni bora kuliko EPL kwanini sio popular? Si na yenyewe inaonyeshwa kwenye TV na kuandikwa magazetini?. Huko La Liga kabla league haijaanza unajua tu kuwa atakayechukua kombe ni either Madrid au Barca! Hakuna competitiveness, its so predictable. Na I must say gap kati ya timu hizi mbili uki compare na the rest ni kubwa mno (I can see Malaga na Atletico wanajaribu kubridge hiyo gap). Naskia more than 50% ya mapato yanaishia kkwa hawa wababe wawili na kinachobaki ndo kinagawanywa kwa timu nyingine- talk about unfair distribution of income. Na sasa kumeibuka kitu kibaya kingine kuhusu La Liga- its becoming about 2 players! There is a problem kama mchezaji mmoja anafunga mora than 80 goals in a season katika karne hii! Mchezaji huyo huyo ndo anapiga hatrick kila wikiendi? Isn't this boring?How many times hawa jamaa wakicheza na timu za chini wanawapiga 4/5/6? Yani wakifungwa au kutoa draw if they are not playing against each other, its a shock! Ndo maana mimi miaka mingi nimekua naangalia el classico tu, whats the point in watching other games wakati unajua timu itakayoshinda? Angalau kwenye EPL mwanzoni mwa league unaweza kupata shida kidogo kutabiri who the top two-three are going to be, na Man U au City kupigwa na Wigan au Southampton ni vitu vya kawaida, its unpredictable. Huko Spain pia mmeskia ndugu zenu weusi wanavyokuwa racially abused kila siku na hakuna kinachofanyika!
Mwenzetu tupe lini umefanya utafiti wa kujua kuwa EPL inaangaliwa licha ya kupendwa kwa wingi hapa duniani! Au umetumia kigezo cha DSTV?????????????
 
Over 600m people in over 200 countries are watching EPL, hakuna league ya mchezo mpira wala mchezo mwingine wowote hapa duniani inayokaribia hizo figures, do your research. Hata hiyo DSTV unayosema sio mbaya kwa kuanzia...
 
KOcha muhimu,ni sawa na mwalimu darasani,jiulize kwani bongo si kuna wachezaji wengi wana vipaji kuliko Rooney lakini hawana kucheza team work,mimi nakupa mfano ukichukua hat timu za mtaani spain inayopata kila kitu kocha bora anaejua soka sio wa kuangalia majina na kusikiliza mashabiki au wachezaji wa jukwaa wacheze na sijui simba au yanga,hizo simba na yanga zitakula bao,kuna watu kibao mitaani popote ulimwenguni kwa kuchezea mpira yani control zimelala lakini mpira wa ushindi hawana na hapo ndio utaona umuhimu wa kocha,makocha wenzetu wamepita darasani usidhani kapewa ukocha eti kwa kubwabwaja bwaja maneno matamu kama gutierez,gang chomba,companero,mc tizenga nk la wana fani zao hao.

:biggrin1: embu nitajie mchezaji mmoja mwenye kipaji zaidi ya rooney hapo bongo...ur so funny.... motivation na organisation ya timu ni kocha anafanya lakini mwisho wa siku wanayevuka ule mstari mweupe uwanjani ni wachezaji...unataka kuniambia morinho akiwa kocha wa taifa stars basi taifa stars itashinda kombe la dunia?
 
Duh!!!!!!! Sina neno zuri kabisa la kukueleza ila tu umenifanya NITETEMEKE kwa hii PUMBA uliyoiweka hapa. POLE SANA.

pumba uliongea wewe uliposema eti LA LIGA ni better than PL kwa sababu madrid ameifunga man utd...unasahau mwaka jana chelsea waliichapa barcelona nusu fainali ya CL mbona hukusema kua PL ni zaidi ya LA LIGA wakati huo?
 
Back
Top Bottom