La Liga vs EPL.

La Liga vs EPL.

gutierez

Tatizo lako kubwa ni kujifanya unajua sana,wenzio hawajui,nafatilia La liga since late 1999 na ni mshabiki wa Barca kwenye La Liga but naongea ukweli sina ushabiki wa kinafiki kama wako.
Kulikuwa na kipindi ukiangalia game za Depor,Valencia,Zaragoza VS Barca/Madrid game zinakuwa na upinzani na ni ngumu ku-predict matokeo lakini sasa Barca/Madrid wakicheza unajua kabisa Barca/Madrid wanashinda na Messi/CR7 watafunga
Hata vs Man Utd,Arsenal,Man City,Ac Milan nk wanafunga kina Messi na Ronaldo.Nataka nikufahamishe kwa sasa Real Madrid na Barca ni kali sana tofauti na nyuma,ndio maana Ronaldo na Messi wapo juu,sio Spain dunia nzima usiombe kukutana na timu hizi mbili el clasico.
 
Belo, you are fighting a wall. Jamaa anaongea vitu visivyoeleweka, huu ni ushabiki wa kibongo usio na vigezo.
 
epl kelele nyingi na majigambo....juzi tumeshudia ManU ikigalagazwa na Madrid tena nyumbani,mwaka Jana Chelsea walipigwa na Atletico kama watoto....tatizo ni midia za UK kuprom na vitu ambavyo havina maana hadi wametuambikiza na sisi....
 
Belo, you are fighting a wall. Jamaa anaongea vitu visivyoeleweka, huu ni ushabiki wa kibongo usio na vigezo.
Hata haya hayaeleweki labda niongee "iwe"aktuali infakti
La Liga is the strongest league in Europe over the past five years, according to UEFA's league coefficient. La Liga is one of the most popular professional sports leagues in the world, with an average attendance of 28,286 for league matches in the 2009–10 season. This is the sixth-highest of any domestic professional sports league in the world and the third-highest of any professional association football league in Europe, behind the German Bundesliga and English Premier League.
Sio maneno yangu maana ofukozi lugha mimi ai donti no nenda hapa chini bofya
La Liga - Wikipedia, the free encyclopedia
Ngoja tupunguze siasa sasa maana enewei umekuja tunaongea na fakti tusikomfusikomfusi najua Mkubwa Rubaman ofukozi hii lugha wewe haikupigi chenga unaino vere weri ridi hapa,samahani lakini mimi sijui natafsiriwa hii lugha ya waiti
The Premier League ranked second in the Union of European Football Associations (UEFA) coefficients of leagues based on performances in European competitions over the last five years
 
epl kelele nyingi na majigambo....juzi tumeshudia ManU ikigalagazwa na Madrid tena nyumbani,mwaka Jana Chelsea walipigwa na Atletico kama watoto....tatizo ni midia za UK kuprom na vitu ambavyo havina maana hadi wametuambikiza na sisi....
Kadi nyekundu aliyopewa Nani walilalama kuwa refa kasababisha wafungwe na Real Madrdid, lakini kamati ya ufudi ya UEFA imeona refa alikuwa sahihi na wamemuongezea adhabu mchezaji huyo. Cha ajabu hawaombi radhi kwa kutupotosha, wapo kimyaaaaaaaa.
 
nimemsikia Robin VP akiwaita UEFA wajinga kwa kumuongezea Nani adhabu, nahisi jamaa anahasira maana alikimbia arsenal akitegemea atagusa UEFA. ndoto zimeyeyuka ukizingatia umri unasogea.!!
 
nimemsikia Robin VP akiwaita UEFA wajinga kwa kumuongezea Nani adhabu, nahisi jamaa anahasira maana alikimbia arsenal akitegemea atagusa UEFA. ndoto zimeyeyuka ukizingatia umri unasogea.!!
Kweli kabisa mkuu.
 
Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.

Unaweza kusema pia kuwa mechi kati ya Barcelona v Beyern Munich na Real Madrid v Borussia Dortmund zilikuwa ni kuonyesha ligi ipi bora?

If so, kwa matokeo ya hizo mechi, ipi ni ligi bora kati ya La Liga na Bundesliga?
 
Ndio zile mechi ni kipimo tosha ipi ligi bor Kati ya la liga na b.liga.?

B.Munich bingwa b.liga
v/s
Barc bigwa la liga.

R.Madrid nafasi ya pili la liga
v/s
Borussia D nafasi ya pili b.liga.

huoni uzito unafanana hapo.?
 
Kwani mechi za Madrid na Manchster United zilikuwa ni kipimo tosha kwa ipi bora kati La liga na EPL?
 
Kwani mechi za Madrid na Manchster United zilikuwa ni kipimo tosha kwa ipi bora kati La liga na EPL?
mkuu mi naona UCL ndio kipimo bora zaidi kuonyesha huko ulikotoka unakutana na timu za viwango gani.

timu inayocheza kwenye ligi bora ndio yenye nafasi kubwa zaidi kutamba UCL.
 
mkuu mi naona UCL ndio kipimo bora zaidi kuonyesha huko ulikotoka unakutana na timu za viwango gani.

timu inayocheza kwenye ligi bora ndio yenye nafasi kubwa zaidi kutamba UCL.

Kwa hiyo, Bundesliga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya La Liga?
 
Back
Top Bottom