La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.

Klorokwini sikutanii, hiyo ilinitokea real kabisa! Bibie alijisikia vibaya sana kwa sababu alikuwa ameacha nywele fupi lakini zimevurugika sana. It took time to reach the climax and when I reached I could not manage whatsover to have another kick! That is why, I have initiated this post just to explore what do other men think about these 'wigs'.
 
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.
Nakuunga mkono.pia madawa mengine wanayopaka kwenye nywele yana harufu mbaya unajikuta unapiga chafya sana. Ladies ni wazuri bila vitu hivyo.
 
siyapendi pia though kuna wakati yanatu save,huna hela minywele imeota haichaniki na kunyoa hutaki,au huna muda wa kwenda saluni au mi nywele imekatika...!! Ila kweli siyapendi kabisaa japo ni mwanamke!
 
Acheni wanawake na mambo yao msiwaingilie sana watatununia mwaka mzima bure
 
mhandisi.....kwanza nikutakie heri ya kupita mwisho wa dunia......pili...hivi ni nini lakini?

teh teh!asante mhandisi maana bado nilikuwa kny toba,,,ile maneno nyingine tutamaliza mm na ww wiki ya ks
 
Mimi ni mwanamke ila kuna wanawake wengine wanakera yaani wanavaa mawigi ambayo hayaendani na rangi, sura na mengine hayajashonewa vizuri ilimradi tu kafunika nywele halisi..mawigi mengine ya ki-blonde na yamefika hadi kiunoni, mweeh!!...halafu tatizo lingine ni kuwa wengine wanavaa/shoea mawigi kumbe nywele za ndani zipo kiholela yani wigi likidondoka aibu yao..kuna wanawake wengine mawigi yanawatoa vile vile..
Nashukuru kuwa na nywele fupi na sijawahi kuvaa wigi, kwanza joto kali dar..
 
Mh,kumbe watu hamyapendi mawigi. Mi nilikuwaga napenda kushonea ma weaving,ila niliacha maana kipindi hicho nilikua na rafiki yangu foreigner chuoni akawa ananiambia kuwa kwann naweka "magazines" kichwani,basi tokea hapo huyo dada alinifanya niache kabisa.
Cjawahi vaa wigi hata cku moja.
 
Back
Top Bottom