Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.