Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.
Halaf kuna wengine wanavaa mawigi ya kitani, kwenye mchezo ukijifanya una mzuka wa kuvuta manywele yanakukatilia mbali vidole, yalaaniwe mawigi.
am watching........
mhandisi.......Sema neno moja na roho yangu itulie
preta mhandisi???
Nakuunga mkono.pia madawa mengine wanayopaka kwenye nywele yana harufu mbaya unajikuta unapiga chafya sana. Ladies ni wazuri bila vitu hivyo.Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.
mhandisi.......Sema neno moja na roho yangu itulie
mhandisi.....kwanza nikutakie heri ya kupita mwisho wa dunia......pili...hivi ni nini lakini?
nini mbaya?????????????
Mawigi si muwaombe wavue mkiwa faragha??!