La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

MAGAIDI YATHIBITIWE KWA NGUVU ZOTE.HATA KAMA NI KUYAZIKA YAKIWA HAI.!!
 
Kwa tafsiri ya sasa hao si magaidi..ni wahalifu. Ila wanaojiita waislam wakifanya hvo nadhan ndo huitwa magaidi
Inashangaza kwanini marekani hawatumii drones kudhibiti unyama huu uliopo "nyumba ya pili" kutoka kwao lakini wanarusha drones maelfu ya makilometa kwenda mashariki ya kati kudhibiti "magaidi" ya kiarabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…