La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Mnalilia tag za nini na nyie? Si u subscribe tu kwa topic hii utapata notifications!! [emoji48]
Tumetoa notification ya subscribed topics maana inasumbua. Ila tumeacha notification ije tu pale mtu atakapo ku mention au pm au like...

Uko hapo kijana?? Au haya mambo we mgeni?

Ukiruhusu notification ya subscribed topics huwa inakuwa ni usumbufu mkubwa. Kila saa notification
 
Unitag na mim mwana the bold maana nimeipost group na kesho wanataka mwendelezo
 
Ukitaka kujua ukatili wa hawa jamaa angalia video zao za uchinjaji very horrifying gruesome kuna video moja ilimuonyesha dada mmoja akichinjwa na hawa jamaa mpk waziri MKUU wa uingereza akaisemea ile video kiufupi ukatili wa hawa jamaa Isis wanasubiri
Nikitaka kuicheki hyo video niingie WAP mkuu?
 
Kaka picha yako ya mwisho unasema nikijana wa los zetas lakini mimi nimekuwa nafuatilia sana mambo mengi na nimefurahi kukutana na huu uzi wako maana mambo haya napenda sana kufuatilia. Ila hiyo picha sio ya los zetas bali ni member wa 18th Street Gang ambao wanajulikana pia kama M18 (tattoo kwenye uso wake ni uthibitisho)
Mkuu 18 Street gang,Ms- 13 na Los Zetas haya yote ni kitu kimoja, Yameanzishwa tofauti lakini wana ushirika mmoja.
 
Ila genge la pablo nalo lilikua si la mchezo mchezo...ila sinaloa ni zaidi ya ma devil
 
Asante mkuu japo nimechelewa kuiona, ngoja nikitulia niisome. Picha tu zimenifanya nitamani kuangalia hii 'movie' ASAP.
 
Back
Top Bottom