La Ultima Letra - (Tahadhari: Picha zilizomo zinaogofya)

Mnalilia tag za nini na nyie? Si u subscribe tu kwa topic hii utapata notifications!! [emoji48]
Tumetoa notification ya subscribed topics maana inasumbua. Ila tumeacha notification ije tu pale mtu atakapo ku mention au pm au like...

Uko hapo kijana?? Au haya mambo we mgeni?

Ukiruhusu notification ya subscribed topics huwa inakuwa ni usumbufu mkubwa. Kila saa notification
 
Unitag na mim mwana the bold maana nimeipost group na kesho wanataka mwendelezo
 
Nikitaka kuicheki hyo video niingie WAP mkuu?
 
Mkuu 18 Street gang,Ms- 13 na Los Zetas haya yote ni kitu kimoja, Yameanzishwa tofauti lakini wana ushirika mmoja.
 
Ila genge la pablo nalo lilikua si la mchezo mchezo...ila sinaloa ni zaidi ya ma devil
 
Asante mkuu japo nimechelewa kuiona, ngoja nikitulia niisome. Picha tu zimenifanya nitamani kuangalia hii 'movie' ASAP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…