La var ball ndo nani?

Wanawe wasipo shine ataumbuka saana

Wewe umeona wapi eti mtu anayetaka kufanya vizuri kwenye biashara yake anawa-alienate wanawake?

Mbona Jordan brand inatengeneza na kuuza vitu vya wanawake na ona ilivyo na mafanikio?

Hadi bidhaa za watoto inatengeneza.

Na ndo maana ni billion dollar brand.

Huyu LaVar ni jinga jinga tu.
 
My dude Lavar hahaha.. Juzi nimeona Russel wa Lakers akilike tweet inayosema "kwa jinsi Russel alivyocheza msimu huu nitashangaa sana kama Lakers watamdraft Lonzo Ball".. Nikaona pia Sixers walikuwa na mazungumzo na Lonzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…