Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wanawe wasipo shine ataumbuka saana
Wewe umeona wapi eti mtu anayetaka kufanya vizuri kwenye biashara yake anawa-alienate wanawake?
Mbona Jordan brand inatengeneza na kuuza vitu vya wanawake na ona ilivyo na mafanikio?
Hadi bidhaa za watoto inatengeneza.
Na ndo maana ni billion dollar brand.
Huyu LaVar ni jinga jinga tu.