Laana: Diamond kaharibu uwanja Mbeya, marekebisho mwezi mzima, timu za Mbeya kuchezea Iringa

Laana: Diamond kaharibu uwanja Mbeya, marekebisho mwezi mzima, timu za Mbeya kuchezea Iringa

Si wanasema watu waliingia bure? Sasa alilipiaje uwanja kama watu hawakulipa kiingilio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu soma ulichoandika alafu ukifikirie upya sawa eee?
.
Tamasha ni langu kwa manufaa yangu niende kulifanya CCM Kirumba pale kuna uongozi wa uwanja mzee Tegete yupo pale, CCM inataka mapato yake niamue watu wasilipe kwa manufaa yangu.
.U
Uharibifu wa miundo mbinu ya uwanja ukitokea nani atatengeneza na kwa fedha zipi ikiwa mimi niliyefanya uharibike sikulipia?
 
Back
Top Bottom