Embu soma ulichoandika alafu ukifikirie upya sawa eee?
.
Tamasha ni langu kwa manufaa yangu niende kulifanya CCM Kirumba pale kuna uongozi wa uwanja mzee Tegete yupo pale, CCM inataka mapato yake niamue watu wasilipe kwa manufaa yangu.
.U
Uharibifu wa miundo mbinu ya uwanja ukitokea nani atatengeneza na kwa fedha zipi ikiwa mimi niliyefanya uharibike sikulipia?