SoC01 Laana huathiri mafanikio: Ukifanya mambo haya, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako

Stories of Change - 2021 Competition
Joined
Sep 6, 2021
Posts
24
Reaction score
111
Na Emmanuel Zacharia.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.
 
Upvote 50
Mbona nchi zote zilizoendelea , USA, UK, German, France, Japan, Italy etc. Ni wezi sana wa malighafi toka Africa, USA waliua Sana Indian millions of Indian , German waliua sana na kuiba Africa, kama ilivyo France, Italy, UK lakini wako juu sana kimaendeleo na nyanja zote.
Wanatoa Sana wanasaidia sana afrika ndio Siri ya kuifuta ile laana ya wizi.
Kama uliiba Ili upate mtaji ukafanikiwa toa Sana misaada laana itakimbia
 
Wajerumani na Hitler wao wameua zaidi ya watu million 10.Ujerumani ni matajiri kupundukia awana laana japo kati ya waliowaua ni kizazi cha Yesu. Wazungu Waliwachukuwa babu zetu Utumwani mpaka leo ni mabilioneea! Warabu walichukuwa babu zetu utumwani na kuwavuja mbegu za kiume watumwa mpaka leo ni matajiri Ifike pahali Waafrika tubadilike akuna laana wala nini
Baraka za weupe zipo kwenye kutoa kuisaidia,unalijua shirika la kutoa misaada la Ujerumani GIZ angalia pesa watoazo kusaidia afrika.
 
Mbona wazungu walitudhulumu sana!.....
na bado wapo kwenye neema
Wanasaidia sana afrika ndio maana wanabarikiwa.
Ukimsaidia masikini umemkopesha Mungu nae atakulipa mara nyingi.
Jana asubui nimempa bibi kizee omba sh elf 1000 jioni nimepata elf 20 nje ya majukumu yangu.
 
Kuna jamaa yangu, imekuwa akidhulimu wafanyakazi wake, kuwapa ujira kidogo na ulaghai amefanya haya zaidi ya miaka 15, kila siku naona anazidi kufanikiwa tu, kwa hii miaka 8 ametengeneza hela nyingi kwenye miradi ya ujenzi
 
Mbona nchi zote zilizoendelea , USA, UK, German, France, Japan, Italy etc. Ni wezi sana wa malighafi toka Africa, USA waliua Sana Indian millions of Indian , German waliua sana na kuiba Africa, kama ilivyo France, Italy, UK lakini wako juu sana kimaendeleo na nyanja zote.
Umeenda mbali sana Mafisadi tu wabongo hapa wametudhulumu sana lakini wanapeta tu!
 
Point of correction

Hayo mambo uliyoyataja mtu akiyafanya atapata laana ndiyo laana zenyewe ambazo hurithiwa na vizazi na vizazi.

Kama babu zako walitoa kafara automatically na wewe utatoa, kama walishiriki mapenzi kinyume na maumbile automatically utashiriki hilo, kama walidhulumu, kutukana wazazi au kuchana maandiko matakatifu you will do the same.
Habari ya uchumi mgumu au roho ya kukataliwa hayo ni matokeo ya laana hizo za kurithi, hivyo jambo la kumshauri mtu sio kumwambia asifanye mambo hayo kwani mara nyingi yanakuja naturally yaani out of control jambo la kufanya ni 'AVUNJE LAANA YA UKOO' ili mambo hayo yasijirudie kwake.

Hiyo ndio njia pekee ya kuepuka laana na mikosi 'BREAK GENERATIONAL CURSE' how? inategemeana na muongozo wa imani yako
 
Kumbe...nifanyeje sasa nijitoe kwenye laana mkuu
Anko haupo kwenye laana. Endelea kupambana kwenye kutafuta muda si mrefu mambo yatakuwa sawa.
Ukiamini upo kwenye laana utakata tamaa na laana halisi ya umaskini itakuangukia "kweri kweri..."
 
Ahsante anko
 
Na Elivius Athanas.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.
iko vizuri...

Kuna perception ya kuonekana umedhulumu based on false accusation, au za victim kuamua kwamba umemdhulumu, pale ambapo umedai na kuchukua haki yako

Vipi hapo laana inaswihi?
 
Mkuu mtoa mada, kuna laana zingine ni za kurithi - hizi ndiyo zinaumiza wanadamu wengi sana waishio leo. Kibaya zaidi laana hutambaaa kutoka kizazi kimoja hadi kingine, sasa inakuwa vigumu muda mweingine kujua Je una laana ama lah. Yaani kama mababu zao waliua watu na kunywa damu zao wewe mjukuu zitakukumba tu na utahangaika nazo.

Unaishia kuona wenzako wanafanikiwa huku wewe ni shinda shinda kila uchao maskini.
 
TAZAMA MADEM WA CHUO WAKITOMBWA LIVE HAPA !!!
USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI UPATE UTAMU ZAIDI.
 
Kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu na ukafahamu fika kaoa au kaolewa. Hii pia ni Laaana mbaya sana jaman

Dah jmn jmn ndio mana pesa zangu hazikai just imagine february 1 hadi hii leo nmepoteza 2m bila hata kuona outputs zake [emoji2307] kweli wake za watu sumu
 
Hivi kuhusu mstari unao sema "Usimwache mwanamke mchawi aiishi "Kutoka 22:18.

Na kweli unakuta mtu anauwa na nimchawi ana maliza familia je nikimuua kwa mstari huu nina laana gani??
 
Hamna kitu inaitwa LAANA duniani, na kama kipo basi ina maana nyingine

sio hizi mnazoziandikia maelezo,LAANA ni nini? Mtoa laana ni nani? kila mtu

aamini njia anayoiamini ila hakuna kitu inaitwa LAANA na hakuna kitu chochote

utafanya kikafunga baraka au mafanikio yako ingekua hivyo huyo shetani tunae aminishwa Yupo,Angekua Mfano HAI maana kama n Laana hakuna kiumbe iliyolaaniwa kumkuta huyo "asemekanae" n shetani.
 
Na Elivius Athanas.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.
Umeandika kitu kizuri sana isipokuwa kuna jambo umemung'unya maneno

Ni mtu kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yake

Atapata msamaha wa dhambi maana pale msalabani alizivunja laana zote

Yesu ndio tiba ya hii kitu
 
Uzi mzuri jla mtoa mada haujagusia vitu vingi sana hasa maswali uliyoanza nayo mana ndio nliyatarajia uyajibu. Ok lets go on

Kwanza niweke vyema kuwa dhana ya kafara ni kitu mtu anachokitoa kama CHAMBO ili apate kikubwa au kilichobora zaidi. Kwa maana hiyo rushwa ni mfano wa kafara, mtaji ni mfano wa kafara, maali pia inaweza kuwa kama mfano wa kafara, kodi pia

Nnatoa changamoto kwa hoja yako moja ya kafara
Mafanikio yanapo kwa kufanya kazi daily kuna kafara lazima zihusike. Freemasons wanakafara zao ambazo ni damu na hiyo damu ni inageuzwa kuwa agano la kupata pesa kupitia damu ya uliyemwua.
HIYO NI MBAYA HAKIKA
Mafanikio yasiyo ya kumwaga damu yanahusisha jasho, damu, nguvu, akili, muda, ushawishi hivi vitu 6 ni lazima ukubali kuvitoa ufanikiwe na hivi ndivyo kafara ila hivi vinatokana na wewe mwenyewe ieleweke hvyo.
Mtu mmoja aliniambia hata usome sana kama hautafanya kazi kwa muda zaidi ya unaotakiwa, kutumia nguvu yako zaidi, ubunifu, kama hautakubali kupoteza muda wako (kusubiria) lengo lifike mdogo mdogo.
Mfno. Nmemaliza chuo 2019 mwaka 2020 nkaingia dsm sina dili nkakmkuta dogo langu alifeli 4m4 akaniingiza kwenye kazi fulani ngmu sana ya kuzunguka mtaani. Nkafoc hyo mwisho wa kazi n sa10 mchana ila nkawa naenda mpk sa1 inanikuta niko mtaani. Nmeifany hyo kazi mwaka mzima kibishi ila ikanipa mtaji na vingine nkaachanan nayo nkafanya changu sasa. Ila muda, jasho, uvumilivu, maombi (sala nyingi), kujifunza, elimu, ni vingi lazima uvitoe ili utoboe hakuna k2 rahisi kinachokupa uafadhali.
 
Baraka za weupe zipo kwenye kutoa kuisaidia,unalijua shirika la kutoa misaada la Ujerumani GIZ angalia pesa watoazo kusaidia afrika.
Ndio maana naonaga Mimi kama hata kuwa mbunge tuu laana siikwepi.. naogopa kama Kupiga ramli.

Serikali zetu zipo katika mtihani huu wa wanaopiga mwingi na wakina mambo ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom