Ngozi nyuesi tunajishtukia sana mkuu, mbona Etoo hakufanyiwa hayo na pep, mendy alieuzwa madrid pia alikuwa mchezaji pendwa wa pep za injury zikawa nyingi.Treatment gani mbay aaliyopewa? Au ilie ya kutofanyiwa Birthday?
Ngozi nyuesi tunajishtukia sana mkuu, mbona Etoo hakufanyiwa hayo na pep, mendy alieuzwa madrid pia alikuwa mchezaji pendwa wa pep za injury zikawa nyingi.
Aliboa sana,mwanaume kulilia kufanyiwa birthdayTreatment gani mbay aaliyopewa? Au ilie ya kutofanyiwa Birthday?
Mendy wa Madrid na Mendy wa Man city ni watu wawili tofautiNgozi nyuesi tunajishtukia sana mkuu, mbona Etoo hakufanyiwa hayo na pep, mendy alieuzwa madrid pia alikuwa mchezaji pendwa wa pep za injury zikawa nyingi.
Asiyejua hili ni mpuuziHata chadema wana laana ya Magufuli
Ww ni mjinga sana, unataka kubisha nini sasa nakati hata Pep Kipara alipokuwa Barcelona alimbagua sana tu Samuel Eto'o akiwa na kiwango kizuri sana cha mpira lakini alianza kumweka benchi ili asivunje rekodi za mchezaji aliyekuwa anashikilia hiyo rekodi nzuri kwa mabao na assists?Kama alikua na kiwango kwanini alikua anakaa Bench kipindica Pelegrini kabla ya ujio wa pep?
Ficha ujinga wako wewe, Yaya Toure angelicheza namba ya nani barcelona ile ya busquet, xiav na iniesta?Ww ni mjinga sana, unataka kubisha nini sasa nakati hata Pep Kipara alipokuwa Barcelona alimbagua sana tu Samuel Eto'o akiwa na kiwango kizuri sana cha mpira lakini alianza kumweka benchi ili asivunje rekodi za mchezaji aliyekuwa anashikilia hiyo rekodi nzuri kwa mabao na assists?
Punguza mahaba uwe huru kiakili na kiafya.
Kipundi cha Pellegrini Yaya alikua na namba ya uhakika. Tatizo lilianza alipokuja PepKama alikua na kiwango kwanini alikua anakaa Bench kipindica Pelegrini kabla ya ujio wa pep?
Shida ya Pep habagui watu weusi anabagua mostly kutoka Africa kwa sababu zake mwenyeweWatu weusi ni inferiors kupitiliza. chcochote kinachotutokea tunahisi kuwa tumebaguliwa kwa sababu ya Rangi yetu.
Hivi Toure alikua na kiwango gani cha kuweza kucheza mbele ya De bruyne na David Silva?
Shida ya Pep habagui watu weusi anabagua mostly kutoka Africa kwa sababu zake mwenyewe
Kipundi cha Pellegrini Yaya alikua na namba ya uhakika. Tatizo lilianza alipokuja Pep
Yaya ameingia Man City mwaka 2010 while hao wengine wameanza kuja Man City miaka 4+ baada ya Yaya naomba niambie nani alikua anacheza Midfield hapo kabla. Tuachane na swala la kocha gani maana nilichanganya mwenyeweacha kusema uwongo mkuu, uwongo sio kitu kizuri.
de bruyne alimshanyang'anya namba pale attacking midfield. Akabaki anapishana na akina Fernando na Fernandinho position za chini. Na alipokuja Pep ndipo alipomshusha Silva kutoka winger akmshusha kuwa midfield ndipo ilipobakia namba moja tu chini ambao Fernandinho akaibeba yeye. Yaya na Fernando wakashia kusugua Bench la moja kwa moja.
Mkuu huwa unanichekesha kwa unavyochomekea haya makitu kwenye mada tofauti na lengo.Hata chadema wana laana ya Magufuli
Mkuu yaani mi ndio sielewi ilikuakuwaje hadi madrid kupata matokeo yale katika dakika zile tena kwa pep!!!???Hii ya juzi na Real Madrid ndo sikuamini kabisa... Man City walikuwa bora mno.. Lakini wapiii......