Laana katika mchezo wa soka

Laana katika mchezo wa soka

Treatment gani mbay aaliyopewa? Au ilie ya kutofanyiwa Birthday?
Ngozi nyuesi tunajishtukia sana mkuu, mbona Etoo hakufanyiwa hayo na pep, mendy alieuzwa madrid pia alikuwa mchezaji pendwa wa pep za injury zikawa nyingi.
 
Watu weusi ni inferiors kupitiliza. chcochote kinachotutokea tunahisi kuwa tumebaguliwa kwa sababu ya Rangi yetu.

Hivi Toure alikua na kiwango gani cha kuweza kucheza mbele ya De bruyne na David Silva?
 
Mendy wa Madrid na Mendy wa Man city ni watu wawili tofauti
 
Kama alikua na kiwango kwanini alikua anakaa Bench kipindica Pelegrini kabla ya ujio wa pep?
Ww ni mjinga sana, unataka kubisha nini sasa nakati hata Pep Kipara alipokuwa Barcelona alimbagua sana tu Samuel Eto'o akiwa na kiwango kizuri sana cha mpira lakini alianza kumweka benchi ili asivunje rekodi za mchezaji aliyekuwa anashikilia hiyo rekodi nzuri kwa mabao na assists?

Punguza mahaba uwe huru kiakili na kiafya.
 
Ficha ujinga wako wewe, Yaya Toure angelicheza namba ya nani barcelona ile ya busquet, xiav na iniesta?
 
Watu weusi ni inferiors kupitiliza. chcochote kinachotutokea tunahisi kuwa tumebaguliwa kwa sababu ya Rangi yetu.

Hivi Toure alikua na kiwango gani cha kuweza kucheza mbele ya De bruyne na David Silva?
Shida ya Pep habagui watu weusi anabagua mostly kutoka Africa kwa sababu zake mwenyewe
 
Pep Guardiola alipopewa timu ya wakubwa 2008 akamuacha Ronaldinho aende AC Milan akabaki na Eto'o. Vipi hapo wazee wa kuhisi kubaguliwa?
 
Shida ya Pep habagui watu weusi anabagua mostly kutoka Africa kwa sababu zake mwenyewe

Keita alikua anatokea wapi? Mbona alikua katika vipenzi vyake kabisa pale Barca, Mpaka mashabiki walikua wakimlalamikia kuwa jamaa uwezo mdogo ili alikua anacheza kila siku.
 
Kipundi cha Pellegrini Yaya alikua na namba ya uhakika. Tatizo lilianza alipokuja Pep

acha kusema uwongo mkuu, uwongo sio kitu kizuri.

de bruyne alimshanyang'anya namba pale attacking midfield. Akabaki anapishana na akina Fernando na Fernandinho position za chini. Na alipokuja Pep ndipo alipomshusha Silva kutoka winger akmshusha kuwa midfield ndipo ilipobakia namba moja tu chini ambao Fernandinho akaibeba yeye. Yaya na Fernando wakashia kusugua Bench la moja kwa moja.
 
Yaya ameingia Man City mwaka 2010 while hao wengine wameanza kuja Man City miaka 4+ baada ya Yaya naomba niambie nani alikua anacheza Midfield hapo kabla. Tuachane na swala la kocha gani maana nilichanganya mwenyewe
 
Back
Top Bottom