Tanzania haina dini wala dhehebu na elimu hivyo hivyo haina dini wala dhehebu..Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.
unaijua amri ya 4 vyema??
Kama ni ukiukwaji wa amri ya pili kwa wasabato hapo napo unaleta ishu tofauti manake je wale waislamu wasemeje??
Acha mada za kidini hazitokusaidia jambo lolote lile
Inaheshimu taratibu za dini zisizokinzana na taratibu za nchi.... Unawakumbuka wale wasabato masalia..???#ila inaheshimu taratibu za dini.
inaheshimu taratibu za dini zisizokinzana na taratibu za nchi.... Unawakumbuka wale wasabato masalia..???
Ukiwafikiria sana hao, utatakiwa uwafikirie waislamu ambao wanakuwepo kazini ijumaa, manesi wanaokuwepo kazini jumapili, ijumaa, jumamosi, uchaguzi jumapili
Amri ya nne inasemaje?Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.
kila mtu ana nafasi ya kumtetea mungu wake kwa nafasi yake,hali kadhalika na wao wapaswa kutetea kama wana uvuvio wa laana inayozolotesha elimu.
Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.
kwahiyo wataka kusema kwamba wasabato ndio wanaolaani elimu??
Ama kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mungu mwenyewe kasema mshike sana elimu wala usimwache aende zake, yy yy munu akasema heshimu kila mamlaka iliyoko duniani maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa mungu sasa je kwann nini wasabato msiliheshimu hili??
Mungu anasema hivi, vita vyenu si vya nyama na mwili ni vya roho sasa kama nyie mnaaanzisha vita vya nyama mmekwisha nawaambia. Mungu si mwanadamu hata aseme uongo asemapo heshimu kila mamlaka alimaanisha sasa nyie mnaojiwekea mafundisho yenu mnakazi
na wewe utakuwa mmja wa hao walofukuzwa damn shit mnaleta dini kwenye elimu hujui ni kwanini quran na biblia hazitakiwi kabisa mashuleni labda yako binafsi .hamsomi biblia vizuri nyie sabatos mnajua kusema tu majani ya chai ni kilevi cocacola kilevi,is thats all?? biblia inasema mkamate sana elimu tena usimwache aende zake ,mlifikiri mmeambia mkamate sana sabato usimwache aende zake .nitawacheka sana tena sana mimi nilishafanya mtihani pale chuo siku ya 25/12/2007 CHRISMASS DAY BILA KINYONGO WACHENI MCHEZO SERIKALI HII HAINA DINI DINI ANAIJUA BABA/MAMA AKO ALIYEKURITHISHA!Kuna matukio mengi ya ukiukaji wa amri ya nne kati ya amri kumi za mungu. Watu wamekoseshwa nafasi za masomo kwa kutoikana imani ya kisabato. Watu amefurahia ikiwa ni pamoja na kuwatukana @was@aba@to kwa linalowakuta. Jihadhalini sana na hilo naimani majibu yake yapo ya kimbingu.
unataka kutuaminisha kwamba elimu italaaniwa sababu ya hao 10-??damn loosers aisee mungu hafanyi hizo kazi sasahizi anawacheka sana hao wasabato anawacheka sana alafu anakazia ''watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa '' aisee gfsonwin kazi ipo my sisi hahahakuna kitu kimoja inatakiwa ujue wasabato hawana uwezo wa kulaani elimu anayeweza kulaani ni mungu tu.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hivi nani umewahi kumuona anaangamia kwa kukosa elimu ya kidunia? Maarifa unayoambiwa siyo hayo ndugu.
mshike sana elimu usimwache aende zake,hiyo ni kweli kabisa ila katika kuishika usimwasi mungu kwa kuwafukuza watu wa mungu wala usiende mbali na mungu.
ajiriwa na mhindi alafu umwambie ikumbuke sabato nakuitakasa hahah
na wewe utakuwa mmja wa hao walofukuzwa damn shit mnaleta dini kwenye elimu hujui ni kwanini quran na biblia hazitakiwi kabisa mashuleni labda yako binafsi .hamsomi biblia vizuri nyie sabatos mnajua kusema tu majani ya chai ni kilevi cocacola kilevi,is thats all?? Biblia inasema mkamate sana elimu tena usimwache aende zake ,mlifikiri mmeambia mkamate sana sabato usimwache aende zake .nitawacheka sana tena sana mimi nilishafanya mtihani pale chuo siku ya 25/12/2007 chrismass day bila kinyongo wacheni mchezo serikali hii haina dini dini anaijua baba/mama ako aliyekurithisha!
ungekuwa unamwogopa mungu ungefanya mtihani baadae uende kusali.kwani mhindi ni mungu? Ninayemuogopa ktk dunia hii ni mungu tu na wala siyo ajira.
hizi ni ndoto za alinacha tena za saa tatu asubuhi kila kitu na kiasi na wakati baba,naangalia nina muda wangu wa kusali na kwenda kanisana ,napanga wakati huku nikimshirikisha mungukwa uzoefu wa historia ya maisha watu kama nyie mnaleta mzaha na kuhadaa maagizo ya mungu walikuwepo,wakati nuhu anajenga safina watu wanaendelea na shughuli zao wanaendelea kumbeza tu. Walichokipata watatusimlia siku hyo endeleni na kutafuta elimu bila kuanganglia matakwa ya mbigu hautoangamizwa kwa garika tena bali ni moto.