Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili zitawakabili hawa vijana, tatizo la afya na la kiuchumi. Changamoto za vijana hawa zitatatuliwa kwa kuwezeshwa kiuchumi yaani wafanye kazi rasmi ambazo zitalinda afya yao na kuongeza pato lao.
Kama siyo laana ni nini? unachukuaje 3 bilioni kwa ajili ya siasa za kwenda kwenye majukwaa kuwananga vijana kwamba kazi zao ni mbovu sana wakati bila wao hizo fedha usingezipata. Inamaana wewe unayechukua hizo hela za wavuja jasho bila kutatua tatizo lao utakuwa umelaaniwa.
Ili kulinda hoja yenu ya kuwakwamua bodaboda katika umaskini, Chukueni hizo 3 bilioni, tengenezeni kiwanda au anzisheni mradi wowote ambao utaajiri vijana wa bodaboda zaidi ya 300 ambapo mtakuwa mmesaidia familia nyingi na serikali itaona mfano kutoka kwenu.
JPM alikuwa sahihi sana kuua vyama vya siasa. Haiwezekani chama kimoja unakipa ruzuku ya 3 bilioni ili kifanye siasa, ambapo hizo fedha zingesaidia kujenga shule, zahanati, daraja, barabara, mitaji kwa vijana n.k.