Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

You guys are just afraid of change. Tangu Gaucho aende Milan, Milani imefanya nini. Je Bra ikichukua Kombe na wakaonyesha kandanda swaaafi mtasema nini. tatizo ni tabia ya kutaka wachezaji wale wale kama mlivyozoea kwa Yanga na Simba.
 
Atapatikana gaucho mwingine south,usikonde.jamaa nae kajaa kiburi
 
unanikumbusha kitendo dinho alichowafanyia madrid mwaka 2005 pale alipopiga goli 2 peke yake kwa style ileile mpaka kipyenga kinapulizwa madrid wanalala 3-0....

Unaona!? - wewe unaongelea issues za 2005!!

Jamaa kiwango kimepungua na si Dinho yule wa zamani!

Ingekuwa ni kuangalia viwango vya nyuma, Capello basi angemchuka OWEN!

Brazil kuna wachezaji wengi wazuri tu na jamaa keshasema anataka vijana wenye moyo wa kujituma, wenye kiu na njaa ya mafanikio.
 
Katika histori ya SOKA Brazil ni kisima cha kuzalisha wachezaji wazuri waliowahi kuwika kwa nyakati tofauti. Gaucho aliwahi kutokea kuwa mchezaji mzuri na akakubalika duniani pote. Lakini ni dhahiri kwamba kwa sasa kuna wachezaji wengine walioibuka wenye vipaji na wanaoweza kuiletea mafanikio Brazil. Kocha Kapteni DUNGA amechagua miongoni mwa wachezaji wakongwe na chipukizi wenye uwezo wa kuiwakilisha nchi ya Brazil. Mara nyingi watu ni wagumu kukubali mabadiliko, lakini mabadiliko ni muhimu katika kusaka mafanikio.
 
Kumuacha Gaucho ni sawa kabisa..................kumuacha Pato na Macelo ni kosa la kiufundi
 
Mbona kuna tetesi kuwa Dinho yupo kwenye orodha ya wachezaji 7 ambao wanaweza kuongezwa wakati wowote kuziba pengo la wale 23?

HALAFU MBONA HAMUONGELEI LAANA YA RAYMOND DOMENECHO KWA KUMUACHA KIUNGO MSHAMBULIAJI MACHAHARI, SAMIRI NASRI!
 
Watu mbona mna mchecheto hivyo? Brasil will do just fine with or without Ronaldinho....y'all need to chill out
 
Gang Chomba unaonekana una chuki mno na Dunga.
yeye ni kocha na hakuna jambo jema kwa kocha kama timu yake kufanya vizuri uwanjani (hasa ukizingatia hajuulikani Ulaya-as if kujuulikana ulaya ndio everything). angependa kufanya lolote timu yake ishinde. waliokuwa hawajachakuliwa means hawapo kwenye viwango.
 
Nyie mnaokurupuka na kuropoka huku mmebana pua ''oooh sijui kuna vipaji vipya vitaibuka'' hebu vitajeni hivyo vipaji nianze kuwashushua mmoja baada ya mwingine.

Kuna mmoja nimemsoma hapo juu eti bila hata haya anauliza kwani Saint Dinho tangu kaamia Milan kafanya Nini?
Kweli hilo ni swali la mwenye utimamu kichwani?
Mpira hauangaliwi hivyo bwana mdogo.
Cesc yuko Guners mwaka wa ngapi?
Ana mafanikio gani?

Mwingine kaenda kunakili post yangu hata siikumbuki ya mwaka gani kisha eti anakuja kuiweka kwenye thread hii na kudai kuwa eti mimi namzungumzia Saint Gaucho wa kipindi hicho...sasa huyu nae yuko sawa kichwani?

Unapotaka kumzungumzia Saint Gaucho kwanza unatakiwa uwe unatizama ligi ya Serie A na unafuatilia kwa kina kila kinachomuhusu.

Dinho kama Dinho msimu huu wa Serie A katengeneza magoli 15 yaani asist na kafunga magoli 11.
Sasa tafuta vichezaji vyenu vilivyochukuliwa na huyo Sakala Dunga muone kama vina asist na magoli kama ya Mtakatifu.

Msikurupuke na kupayuka payuka tu...
 
Pole yake ronaldiho maana mambo kama hayo yalimkuta Romario enzi za scoalari kule Japan na kweli baada ya hapo scolari ameandamwa na laana hiyo mpka leo sijui yyko wapi?tusubiri Dunga naye
Nafuu ya Scolari alichukua kombe ila dunga hata nusu fainali hafiki!
 
Binafsi naona kumuacha Alex ni makosa sana. Alex anafaa kwenye zile mechi zenye kuhitaji nguvu, this Juan (Roma) na Lucio (injury prone) are not cutting at the moment.
 
Waandaaji wa kombe la Dunia huko Sauzi nao wameulalamikia sana uamuzi tete na tata wa Dunga - hebu msikilize mmojawapo:

Jordaan rubbishes Dunga remarks

Posted: 2010-05-13 09:30
World Cup Organising Committee CEO Danny Jordaan has rubbished comments attributed to him in the media questioning Dunga's decision to leave Ronaldinho out of the Brazil squad for the tournament.

CNN News quoted Jordaan as saying it's "sad and unfortunate" that the tournament would suffer without Ronaldinho, and that someone of Dunga's experience should have selected the AC Milan midfielder "as a matter of course".

But speaking to KickOff.com on Thursday morning, Jordaan insists he never said anything about Dunga.

"What I said to the journalist was that Ronaldinho is a world-class player and very few countries would leave him out of their squads.

"I did say that the World Cup will suffer will without him because I believe Ronaldinho is a fantastic player. But I never said anything about coaches and Dunga being blinded by power. No, no, no…I didn't talk about coaches being gods and all that, I never said that. I only spoke about Ronaldinho's omission."

http://www.kickoff.com/2010/news/15370/jordaan-rubbishes-dunga-remarks.php
 
Ukweli ni kuwa Dinho amepungua sana kiwango. Hata kwenye Champs League alikuwa akijipiga chenga mwenyewe na kufurahia hilo lisilo na tija. Dinho allikuwa na muda wake, akatumikia. Maisha yanaendelea. Other younger players are poised to take over ther mantle.

Ila siko sure kuhusu kumchukua Grafite na kumuacha Pato (kama ilikuwa lazima mmoja wao tu ndiye abaki).
Si issue sana Dinho kuachwa, kumbuka Romario aliachwa 2002.
Kocha ndiye mwenye uamuzi wa kumuacha au kumchukua, si hizo the so-called 'jumuia za kimataifa' (not Brazilian!).

Kuhusu mafanikio ya Dunga kama mchezaji, nikuuliza Chang Chomba je ni wachezaji wangapi wameshinda kombe la dunia? Dunga aliweza huku akiwa ni nahodha wa timu.
Je ni makocha wangapi wamefanikiwa kama Dunga wakiwa wachezaji? Ni wachache sana. Na Dunga ni mmoja wao.

Watu kadhaa wameumia kwa kuachwa wachezaji wao vipenzi. Ni uamuzi wa makocha. Ila tukubali Dinho wa sasa si 'yule'.
Kumbuka Domenech naye kamuacha Nasri...
 
Ukweli ni kuwa Dinho amepungua sana kiwango. Hata kwenye Champs League alikuwa akijipiga chenga mwenyewe na kufurahia hilo lisilo na tija. Dinho allikuwa na muda wake, akatumikia. Maisha yanaendelea. Other younger players are poised to take over ther mantle.

Ila siko sure kuhusu kumchukua Grafite na kumuacha Pato (kama ilikuwa lazima mmoja wao tu ndiye abaki).
Si issue sana Dinho kuachwa, kumbuka Romario aliachwa 2002.
Kocha ndiye mwenye uamuzi wa kumuacha au kumchukua, si hizo the so-called 'jumuia za kimataifa' (not Brazilian!).

Kuhusu mafanikio ya Dunga kama mchezaji, nikuuliza Chang Chomba je ni wachezaji wangapi wameshinda kombe la dunia? Dunga aliweza huku akiwa ni nahodha wa timu.
Je ni makocha wangapi wamefanikiwa kama Dunga wakiwa wachezaji? Ni wachache sana. Na Dunga ni mmoja wao.

Watu kadhaa wameumia kwa kuachwa wachezaji wao vipenzi. Ni uamuzi wa makocha. Ila tukubali Dinho wa sasa si 'yule'.
Kumbuka Domenech naye kamuacha Nasri...

Kwanza napenda kukupa pole kwa kutokuwa mfuatiliaji wa soka.
nimekunukuu hapo juu ukidai kuwa Dinho ktk Chmps league alikuwa anajipiga chenga mwenyewe na kufurahi.
Sasa naomba unithibitishie ni mechi gani ambaye Saint Gaucho amejipiga chenga.

Suala la pili ni kuhusu striker aliyepaswa kwenda south.
Julio Baptista mshambuliaji wa AS Roma amecheza mechi ngapi msimu huu?
Na je amefunga magoli mangapi msimu huu?
Na je katengeneza mangapi?
Kisha ukipata jibu geuka kwa Pato.
Kisha fuatilia DATA zake za msimu huu.


Pia kuna kauli umeitoa ukidai kuwa Kocha ndiye mwenye maamuzi ya mwisho.
Teh teh kwani kocha huwa hakosei? basi Wenger atafia Arsenal


Na kuhusu mafanikio ya Dwaf Dunga ni kuwa ameshawahi kuwa nahodha wa timu 1994 na kunyanyua ndoo ya dunia...but naomba unisaidie je ana mafanikio mengine alipokuwa mchezaji?

Sasa turudi kwa Saint Gaucho.
Dinho amebeba kombe ka dunia, kabeba champs league kitu ambacho Dwaf Dunga hajathubutu.
Kabeba La Liga kitu ambacho huyo sakala wenu hajawahi kufanya.
Keshawahi kuwa mwanasoka wa dunia mara mbili kitu ambacho huyo Dwaf wenu hajawahi kufikiria.
kachaguliwa kuwa mwanasoka bora wa miaka 10 ilopita.

Sasa nataka kukusaidia...
Usikurupuke kumponda mtu eti kisa kuna watu wanamponda.
Unatia aibu
 
people have to understand mpira wa siku izi ni technic zaidi kuliko good display wengi mtakubaliana nami espcially inter milan walivyowatoa barca, wachambuzi wa ukweli tulijua kua ule ndio mwisho wa barca kwani ''master of tactic'' always atamzidi ''master of magics'' dunga ameignia kwenye path iyo hasa ukichukulia yeye alikua kiungo mkabaji ndio maana philosophy yake ya game ni kujaza viugno wakabaji wenye spidi ili wanapopata mpira wanaenda mbele kwa kasi ya ajabu na wanapopokonywa wanarudi kudefend kwa kasi pia, ndio maana timu yake inawachezaji wengi wa namna iyo apo katikati kama uyo melo wa juve, ramirez wa benfica, maicon tunamjua ni beki lakini anapanda kwa kasi pia, kuna elano wafuatiliaji wa mpira wanamjua uyu jamaa enzi za ericsson man city alikua middle ya maana sasa ukiangali kwa philosophy ii ya dunga ambao ndio mpira wa sasa, gaucho hawezi kwanza dunga haufndishi shoo game, yeye ni kasi kwenda mbele ya mpira na watu na kurudi si chenga! dinho harudi kudefence!
 
Back
Top Bottom