Laana ya dhuruma yawakuta Kagera sugar

Laana ya dhuruma yawakuta Kagera sugar

Feberia

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
542
Reaction score
220
Kwa matukio yaliyofanywa na TFF Malinzi & Mwesigwa kuangalia upande wa asili (nyumbani) umeanza kuzaa matunda ya wazi sasa

Pointi tatu walizomnyima Simba kwa kupindisha ukweli hautawaacha salama msimu huu na uwezekano mkubwa wakarudi daraja la kwanza mcimu ujao.

Itakuwa funzo kwa wengine
 
Lol bado mnakumbuka tu mikia bwana
 
Simba wanazoza sana! Hata kwa Yanga walisema hivyo hivyo!!!
 
Hii mada ukimpelekea Manara hakika atafurahi sana maana anatafuta upuuzi wa kuwadanganya mikia,mwambie aseme tu ukiionea mikia unapata laana ya kushuka daraja.
 
Na wakati Tope fc hamfanyi vizuri ilikuwa laana ya nani kumbe? Na usishangae wakaja kuzindukia kwenu tena sijui mtaweka wapi mikia yenu
 
HAHAHAHAHAHA! DAH! MBAVU ZANGU JAMANI...! YAN MNATAKA TENA ZILE PONTI AU ZIWASAIDIE MSIMU HUU KUPATA UBINGWA? HAMSAHAU TU?
 
Back
Top Bottom