Lol bado mnakumbuka tu mikia bwanaKwa matukio yaliyofanywa na TFF Malinzi & Mwesigwa kuangalia upande wa asili (nyumbani) umeanza kuzaa matunda ya wazi sasa
Pointi tatu walizomnyima Simba kwa kupindisha ukweli hautawaacha salama msimu huu na uwezekano mkubwa wakarudi daraja la kwanza mcimu ujao.
Itakuwa funzo kwa wengine
Mhenga Emma OKWI kawanyamazisha ziiiiiiiiMtibwa anaongoza 1 huko aisee....mbumbumbu fc 0
Mhenga katukomboa aseeMhenga Emma OKWI kawanyamazisha ziiiiiiii
SawaMhenga Emma OKWI kawanyamazisha ziiiiiiii