Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,ataendelea kumlipua Mwenyekiti Mbowe hadi siku ya uchaguzi,nakiona chama cha Wafanyabiashara na wafanyakazi aka Masetla kikienda kuvunjika kake kake,jahazi la Chadema linaenda kuzama jumla,kwenye uongozi wa Mwenyekiti Mbowe,damu za wanaharakati awa zilimwagika,Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina,Alphonce Mawazo na Ali Kibao,

Walimsingizia Hayati Rais Magufuli juu ya kupotea kwa Ben Saanane,kupigwa risasi na kuumizwa Tundu Lissu,kupotea kwa Mwenyekiti wa vijana,Temeke, Deusdedith Soka,Rais Magufuli akafa akazikwa lakini mambo hayo hadi sasa bado yanaendelea kutokea,Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanapogombea madaraka wakumbuke kuwa kuna watu wengi sana wamekufa nchi hii kwa sababu ya Chadema,wayakumbuke yaliyotokea Morogoro kwenye maandamano ya Chadema,wayakumbuke maandamano ya Arusha na Songea,kuna watu wengi wamemwaga damu zao wakikitetea chama cha Chadema,Leo hii mgombea anaposema amekijenga chama chake kwa jasho na damu wakati bado yupo hai inashangaza sana,damu gani uliwahi kumwaga kwa sababu ya Chadema? I feel sorry kwa waliomwaga damu kutetea haki huku wakiamini wapo kwenye chama sahihi kilichobeba maono ya Watanzania!,rasmi wapenda haki waangalie namna ya kuwa na chama kingine kitakachobeba maono ya watanzania

Uhai wa Chadema upo hatarini,harakati na busara zinagombea fito moja,busara inasema imekitoa mbali chama kwa hiyo hatakiacha chama kirahisi rahisi,harakati nae anasema anataka kukiondoa chama katika mikono ya ukabila na ukanda na kukirudisha kwa wananchi,anataka kukichukua chama kukipeleka kwenye mchakamchaka wa haki na demokrasia,Tundu Lissu ni mfano wa Hayati Rais John Pombe Magufuli,wote nia zao ni sawa, mbiinu tu za utekelezaji ndizo zinaweza kuwatofautisha,kwamba wote wanaamini katika vitendo na mchakamchaka,Lissu anaamini kwenye haki na demokrasia,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliamini kwenye mchakamchaka wenye haki iwe kwenye demokrasia ama bila demokrasia maana aliona tunachelewa sana kwenda mbele sababu ya demokrasia.

Kashfa ya Fedha haramu ndani ya Chadema aliyoitoa Tundu Lissu kwenda kwa Freeman Mbowe,imekivua nguo Chadema na kutia dosari uadilifu ndani ya Chadema na kutibua ndoto za Watanzania waamini walioamini Chadema ni chama kilichobeba maono ya Watanzania,hili limewakumbusha watu kuhusu mengi yaliyosemwa na waliohama Chadema kwamba kama Mbowe hakutaki atakushughulikia hata kama una weledi wa kiwango cha juu sanakwa nguvu yake ni kubwa ndani ya Chadema,waulize aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini,muulize Waitara,Lijuakali na Mchungaji Peter Msigwa,Niseme tu Freeman Mbowe ataheshimika sana kama ataweka tamaa nyuma na kuachia kiti kwa heshima.Otherwise,Chama kitakosa legitimacy na moral authority ya kuwasema vibaya CCM,siku zote tunapaswa kuyaishi tunaoyaongea na kuwahubiria wengine wafanye.vipindi vinne vya uongozi totalling 20 good years inatosha kabisa ukijumlisha na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwako achana hizi kelele nyingine kelele za chawa wenye njaa wanaofaidika na mfumo uliopo,Tundu Lissu ametufunukia kuwa hata ndani ya Chadema kuna chawa na makupe wengi sana.

Kwenye siasa , the biggest and the most valuabe assets ni watu, na the biggest liabilities ni viongozi wa hovyo,kwenye assets na liabilities, kunatumia kanuni ya kibaya chako ni kizuri cha mwenzio kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa kama uchafu,kwa chungu kwake ni kivuno,nachelea kusema Lissu is a very bad liability kwenye uongozi wa pamoja,he is not a good team player,hivyo niliwahi wauliza Chadema msikie Tundu Lissu Hapa, anauliza kama wenzake ndani ya Chadema wana akili!maridhiano aliyaita ujinga,Je, Lissu bado ni Asset or sasa ni a Liability? Moja ya very bad liabilities za Tundu Lissu ni mropokaji, mdomo wake hauna breki!, huu uropokaji wa Tundu Lissu ambao japo ni liability, ndio the biggest asset ya kumuingiza ikulu 2025 kama kura tegemeo ni za GenZii, wanataka waropokaji wa type ya Lissu Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Tundu Lissu sio tuu ni kama Magufuli, pia ni kama Donald Trump Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii? Tundu Lissu ni mbaguzi sana wa jinsia, Mbowe alitakaga kuwasamehe wale wadada 19, baada ya Chadema kuwatimua, Mbowe akawaita Nairobi, akawabembeleza waombe msamaha, Lissu akagoma Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na kuwabagua Wahamiaji,Tundu Lissu ni mtu wa vurugu vurugu na ma kashkash, angalia bunge la sasa lilivyotulia kama maji mtungini!, Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. ni mtundu Toka Shule!. akigombea urais, ataleta ushindani wa kweli na sio igizo la uchaguzi!Magufuli japo alikuwa hasikilizi ushauri, lakini alifanya mambo makubwa,Tundu Lissu ni kama Magufuli na zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Je Tundu Lissu alionyesha uwezo zaidi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli! Rais John Pombe Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi,Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka Chadema,

Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli,Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo, ile kauli ya Rushwa Chadema kutaka kuhongwa na Abdul na Mama yake, kumbe ni uongo mtupu!, ila kama ni ukweli basi nimwambie Tundu Lissu,Ukikaa kimya utakua mpotezaji,na hadi kwenye Uchaguzi unaweza shangaa unapigwa chini hivyohivyo,Tundu Lissu kwenye uchaguzi huu mapigo yako yamejikita kwenye kupiga vita rushwa lakini hiyo hoja ya rushwa Freeman Mbowe kaikataa,basi weka ushahidi hadharani na shahidi zako zitapelekea wewe kuendelea kuaminika Chamani na kumvuruga zaidi Freeman Mbowe na Genge lake wakati huu chama kikiwa kwenye mpito,Uchaguzi ni mmoja tu..kujibu mapigo kisha ingia kwenye uchaguzi kifua mbele,mapigo na mwendo,gusa achia twende, hata ikitokea uchaguzini ukafanywa figisu, ni heri,kuliko kusubiria upigwe chini kwa hila kisha uhame chama,haafu ndio uanze kujibu hizi maneno,utaonekana muongo,tuhuma hazipo,wewe ni mkorofi,mbinafsi na mwenye husda,njia pekee ya kuendelea kuaminika ni kujibu mapigo ya Freeman Mbowe kwa ushahidi,jibu mapigo,jibu mapigo,kwa sababu wewe una akili na unajua namba ya kujibu,wewe ni Tundu Lissu,ukiacha uongo usemwe utakuwa mkubwa na wafuasi wako hawatakuamini watakuona wewe ni mfitini.

Nimalizie kwa kusema kwamba muda wa CCM kuondoka madarakani kwa sasa bado sana.!
Tatizo haliko upinzani peke yake,lakini uhalisia ni kwamba pamoja na madhaifu makubwa waliyonayo wapinzani lakini CCM wana mipango imara ya kuendelea kukaa madarakani,inajulikana Rais Samia ni mwenyekiti wa chama tawala na 2025 anagombea,kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na Amiri jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama tawala,kumuondoa madarakani ni kazi ngumu sana hata wapinzani wakiungana wote na kusimamisha mgombea mwenye sifa zote za kuwa Rais wa Tanzania ambaye hana doa lolote sio rahisi hata kidogo 2025 wapinzani kuiona ikulu.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the effects of microfinancing on poverty reduction.
 
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,ataendelea kumlipua Mwenyekiti Mbowe hadi siku ya uchaguzi,nakiona chama cha Wafanyabiashara na wafanyakazi aka Masetla kikienda kuvunjika kake kake,jahazi la Chadema linaenda kuzama jumla,kwenye uongozi wa Mwenyekiti Mbowe,damu za wanaharakati awa zilimwagika,Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina,Alphonce Mawazo na Ali Kibao,

Kupotea kwa Ben Saanane,kupigwa risasi na kuumizwa Tundu Lissu,kupotea kwa Mwenyekiti wa vijana,Temeke, Deusdedith Soka,Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanapogombea madaraka wakumbuke kuwa kuna watu wengi sana wamekufa nchi hii kwa sababu ya Chadema,wayakumbuke yaliyotokea Morogoro kwenye maandamano ya Chadema,wayakumbuke maandamano ya Arusha na Songea,kuna watu wengi wamemwaga damu zao wakikitetea chama cha Chadema,Leo hii mgombea anaposema amekijenga chama chake kwa jasho na damu wakati bado yupo hai inashangaza sana,damu gani uliwahi kumwaga kwa sababu ya Chadema? I feel sorry kwa waliomwaga damu kutetea haki huku wakiamini wapo kwenye chama sahihi kilichobeba maono ya Watanzania!,rasmi wapenda haki waangalie namna ya kuwa na chama kingine kitakachobeba maono ya watanzania

Hakuna kitu kinaitwa laana kwenye mambo ya ajab kama hayo.
Ni result, ya wao kutokujipanga, laana haitoki iirahisi wala jpm mwenyewe hajawahi kuacha
 
Laana ipi sasa .?
 
atasoma nani uchafu huu
 
Like how did you get your degrees

Unawezaje kuwa na bachelor degree and a masters bila ya kuelewa ‘title ya topic’ yako ina introduce theme ya (mada) maandishi yako.

Laana ya raisi Magufuli kwa CDM ujaielezea.

Even that preamble is confusing kwa maandishi yako. Laana ni kwa sababu Magufuli matendo ya Magufuli yana faida kwa CDM leo au yanaumiza CDM leo (hakuna hayo maelezo).

Worst sehemu kubwa ya article inaongelea mambo mengine kabisa, nothing to do with the title.

How the fuc# you even got a degree when you can’t even present an argument.

Haya ndio sawa na malalamiko ya yule mfanyabiashara wa Mtwara kwenye mkutano wa Magufuli; kaajiri mtu mwenye masters kama manager wa hotel lakini hawezi hata kuandika barua ya kibiashara.

The nonsense
 
Magufuli japo alikuwa hasikilizi ushauri, lakini alifanya mambo makubwa, Tundu Lissu ni kama Magufuli na zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi, Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli, Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo,
 
La saba "b" mna shida sana.
 
Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay.

Kuharibu maisha ya watu wakati wewe haujawai kuguswa hata na unyayo wa fimbo

Kukitumia chama kujinufaisha hakika nakwambia damu ni nzito kuliko maji!!

Uongo unaweza kuchelewa lakini una mwisho Leo ndio nakwambia damu zilizomwagika utalipia.

Samahani Sana kwa Zitto Kabwe, Slaa, Nasari, Kafulila na wengine ambao uliona huu upumbavu wa CHADEMA na mkaondoka.
 
Hayati Rais John Pombe Magufuli alipoingia madarakani aliichukua ilani ya Chadema na kuifanyia kazi,yote waliyolalamika akayafanyia kazi,hao hao Chadema wakageuka ooh Magufuli hafanyi kama sisi Chadema ambavyo tungefanya,wakaanza kumuita Magufuli dikteta,mara muuzaji,mara kampiga risasi Tundu Lissu leo kwenye huu ugomvi aliyempiga risasi Tundu Lissu atakwenda kuongea mwenyewe mbele ya waandishi wa habari karma! Karma! Karma!
 
Kuna watu wengi sana Wamekufa nchi hii kwa sababu ya hicho chama.
Unayakumbuka yaliyotokea Morogoro kwenye maandamano ya Chadema? Maandamano ya Arusha na Songea?
Kuna watu wengi wamemwaga damu zao wakikitetea chama. Leo anakuja jamaa anakuambia amekijenga chama kwa damu, damu gani aliwahi kumwaga kwa sababu ya Chadema?
 
LISSU,LISSU,LISSU nakuita mara tatu,jibu mapigo kwa Freeman Mbowe,piga spana mwana wane,Uchaguzi ni Mmoja tu...KUJIBU MAPIGO KISHA INGIA UCHAGUZINI KIFUA MBELE Ili hata ikitokea UCHAGUZINI ukafanywa Figisu, ni Heri, kuliko kusubiria upigwe chini Kwa Hila Kisha uhame chama, alafu ndio uanze kujibu hizi Maneno za Leo aloongea FAM.
 
Ukikaa Kimya utakua Mpotezaji , na Hadi kwenye Uchaguzi unaweza shangaa unapigwa chini hivohivo.
 
kwakua MAPIGO yako yatajikita kwenye Kupiga vita Rushwa na mambo ambayo FAM kayakataa, basi SHAHIDI ZAKO zitapelekea wewe kuendelea kuaminika Chamani na kumvuruga zaidi FAM na Genge lake wakati huo huo CHAMA CHENU KIKIWA IMARA, japo kitapita kidogo kwenye mpito.
 
Najaribu kusema kua, Ukikaa Kimya, Habari za Tuhuma ulizozitoa, na Leo FAM kuziita UZUSHI, uongo na kwamba Hazipo, utaonekana kweli wee ni Mkorofi tu ,mbinafsi na mwenye Husda.

Njia Pekee ya kuendelea kuaminika, ni KUJIBU MAPIGO, KUJIBU MAPIGO KUJIBU MAPIGO KWA SABABU UNA AKILI NA UNAJUA NAMNA YA KUJIBU.
 
LISSU LISSU LISSU, Kwenye kupigania Unachokiamin, usiache kupiga kelele.

Usithubutu Kuacha Uongo uwe mkubwaaaa, Uongo wa FAM ukiwa mkubwaaa, Wafuasi watauamini, wakishauamin watakuona weee ni Mfitini
 
KARMA;-👇

Mwenyekiti alikuja na mapendekezo kwamba kusiwe na mgombea urais mwenye nguvu ama asiwepo kabisa mwaka 2025. Pia akaja mpaka na orodha ya majimbo ambayo Chadema ingeachiwa mwaka 2025. Kama kuna mtu atabisha basi tutayaweka hadharani. Miongoni mwa hayo majimbo watu wake nanga zinapaa kweli kweli kwa sasa maana wana faida wataipata huko mbeleni. Sisi tuliuliza, kwanini tuingie kwenye makubaliano hayo? Mbona nguvu tunayo?

Kiukweli ni jambo baya sana kumsema kiongozi mwenye Legacy kama Mbowe lakini hapa mwishoni alituuza, alituweka rehani. Sisi wengine tulihoji kulikoni? Mbowe anafaidika na nini? Mbona uwezo wa kupata hata majimbo zaidi ya 100 tunao mwaka 2025? Leo tuingie kwenye maridhiano ya kudanganywa na majimbo chini ya 20 ili tu mtu avuke? Ili nani afaidike?

Yapo mengi kweli tutayasema wazi wazi siku za mbeleni ila Mbowe kwa hatua aliyokuwa amefikia si wa kumung'unyiwa tena maneno! Aliharibu pakubwa!
 
KARMA YAITAFUNA CHADEMA;-👇

Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
 
Back
Top Bottom