Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

Laana haziwi hivyo kijana. Umeandika upupu tu.
 
Mbona unacomment mwenyewe mkuu, unataka nn kwani?
 
 

Attachments

  • 5927761-923bfedf7199215fcdcc6c189769be73.mp4
    5.2 MB
Kaka Wenje sikuwa mjinga kunyamaza kimya baada ya ubatili wote ulioufanya uchaguzi wa Victoria. Niliamua kulinda heshima yako na heshima ya chama chetu kwa gharama ya kusitiri hasira yangu kwa kuwa ulinionea.

Ninasikitika kuwa hukuelewa thamani ya ukimya wangu. Nitakujibu maana naona unataka tuyazungumze hadharani.

#John Pambalu
 
🚮 🚮
Dogo,
Imani za kishirikina kama hizi zimepitwa na wakati
 
John Magufuli was like a Jewish Messiah aliyekuwa anasubiriwa,(Just an allegory not to offend any Jews in the forum,if any)

The same to Tundu Lissu,nae pia was like a Jewish Messiah aliyekuwa anasubiriwa na Chadema,shida yake ni ropo ropo akiweza kuacha matusi kwa Hayati Magufuli naona wananchi wengi wakiiunga Mkono Chadema haijawahi toka katika historia yao.

Be it Lissu ni false hope,only that desperate times calls for desperate measures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…