Laana ya kumtukana kadinali Pengo inamtesa anaishi kama digidigi

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana halafu ubaki salama.

Ikumbukwe yeye uaskofu wake haujulikani umetoka wapi na umetokana na nini kinyume na wale watu wanasoma sana nankupitia stages zote. Si mchezo!!!

Waumini wake wanakaribia kuhamia kanisa mama la kweli (katoliki) ni swala la muda tu. Wamechoshwa kudanganywa na hawa maaskofu fake
 
Kwani yeye mpakwa mafuta wa nani Mkuu!
 
Laana ya padre , askofu, mchungaji, manabii uchwara haiwezi kumfikia mtu yoyote waache kwanza kutapeli waumini hela huku wanadanganya kuwa wanamtolea mungu
 
self proclaimed bishops
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…