Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Chadema kimejijenga kwenye misingi ya matusi, chadema wanaamini wanapata wafuasi kupitia matusi siasa za kibangi bangi kitu ambacho siyo, viongozi wao wameshindwa kabisa kudhibiti matusi bila kujua kuwa matusi huondoa heshima kwa mtu au taasisi.
Leo hii CHADEMA imefutika kwenye ulingo wa siasa sababu kuu ikiwa ni matusi na uropokaji wa viongozi wa CHADEMA.
Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama kuendelea kuwa karibu na watukanaji na wapotoshaji wote ili Sheria iweze kuchukua mkondo wake, hatuwezi kuwa na Taifa la watukanaji lazima tunyooke nao mpaka waache wenyewe.