Achana Na Wapiga Ramli Chonganishi Hao Hawana MaanaWakati Simba inatolewa na UD Songo, Manara akiwepo, ilikuwa laana ya nani?
Haya,Yanga imetolewa na Rivers United. Hiyo nayo tuseme ni laana ya nani?Antonio Nugaz?
kama huijui karma huwezi elewaUjanjaujanja Tu, Asingelia Ndiyo Ingekuwa Vp?
Kesho Yanga Ikifanya Vibaya Hutakosa La Kusema
Team Yoyote Duniani Haiwezi Kuwa Bora Daima
Zipo Nyakati Kama Hizi Ambapo Ndiyo Hali Halisi
man u kafungwa na team bora, hata simba tungefungwa na mamelod, al ahly, wydad na raja wala tusingehoji bt kwa kinachoendelea sasa simba karma inatutafuna si bure.Huyo mzungu koko hana laana wala hawezi kuichia simba laana yotote!!!
Huyo mzungu koko imetokea coincidence tu anajitapa eti laana yake, msukule huyo!
Man Utd hana imefungwa 5 mtungi nyumbani kwao ile ni laana ya nani mjinga huyo...!?!!
tulitolewa na UD songo kwa kanuni sio kama jana tulivyotolewa jana kwa aibu nzito tena na team mbovu kama ile.Wakati Simba inatolewa na UD Songo, Manara akiwepo, ilikuwa laana ya nani?
Haya,Yanga imetolewa na Rivers United. Hiyo nayo tuseme ni laana ya nani?Antonio Nugaz?
Simba sio timu ya kwanza kufungwa na kutolewa katika mashindano, sio sahihi kuanza kutafuta mchawi. Mpira wa miguu huwa una matokeo ya kikatili sanawakuu salaam,
ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri?
kitendo cha kuudharau mchango wa manara na kumbambikia kesi ya usaliti hadi akatoa machozi ile ni nuksi/laana tosha inayoitafuna simba bila kujijua.
pendekezo langu uongozi wa simba wamuite manara hata kimya kimya wamalize tofauti zao, kinyume na hapo karma itaendelea kututafuna kwa muda mrefu.
nb: wasoijua karma watatukana bt muda utawapa majibu sahihi.
man u kafungwa na team bora mkuu, sie tumefungwa na team mbovu.Manara Nani pale Simba[emoji16][emoji16][emoji16].
Kala 5-0 man United nao wana laana ya Nani?
acheni kumpa mtu sifa asizokuwa Nazo
Hakuna cha laana ya Manara wala nini Mpira una matokeo kadhaa, kufungwa ni mojawapo ya matokeo. Tushafungwa na AS Vita, UD Songo nk. Mbona Manara alikuwepo?wakuu salaam,
Ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri?
Kitendo cha kuudharau mchango wa Manara na kumbambikia kesi ya usaliti hadi akatoa machozi ile ni nuksi/laana tosha inayoitafuna simba bila kujijua.
Pendekezo langu uongozi wa simba wamuite manara hata kimya kimya wamalize tofauti zao, kinyume na hapo karma itaendelea kututafuna kwa muda mrefu.
NB: wasoijua karma watatukana bt muda utawapa majibu sahihi.
wengi wetu hatuijui karma bt kupitia sakata la manara na simba tutajifunza kitu kuhusu karmaSimba sio timu ya kwanza kufungwa na kutolewa katika mashindano, sio sahihi kuanza kutafuta mchawi. Mpira wa miguu huwa una matokeo ya kikatili sana
Kwenye mpira hakuna karma.man u kafungwa na team bora mkuu, sie tumefungwa na team mbovu.
karma ni kanuni ya kiroho baina ya cause and effects, cause ikiwa nzuri karma hutoa effects nzuri bt cause ikiwa mbaya karma huleta effect mbaya.
Sipingani na wewe, naheshimu mtazamo wako maana hakuna anayejua kila kitu ila bado naamini ni matokeo tuwengi wetu hatuijui karma bt kupitia sakata la manara na simba tutajifunza kitu kuhusu karma
mi sijakataa simba kufungwa bt kwa ujumla tunachopitia toka msimu unaanza ni karma maana tunakikosi kizuriHakuna cha laana ya Manara wala nini Mpira una matokeo kadhaa, kufungwa ni mojawapo ya matokeo. Tushafungwa na AS Vita, UD Songo nk. Mbona Manara alikuwepo?
Kwa aggregate ya 3 - 3 hatujatolewa kwa kanuni? Sijui hata ulitaka kusema nini.tulitolewa na UD songo kwa kanuni sio kama jana tulivyotolewa jana kwa aibu nzito tena na team mbovu kama ile.