wakuu salaam,
Ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri?
Kitendo cha kuudharau mchango wa Manara na kumbambikia kesi ya usaliti hadi akatoa machozi ile ni nuksi/laana tosha inayoitafuna simba bila kujijua.
Pendekezo langu uongozi wa simba wamuite manara hata kimya kimya wamalize tofauti zao, kinyume na hapo karma itaendelea kututafuna kwa muda mrefu.
NB: wasoijua karma watatukana bt muda utawapa majibu sahihi.