Laana ya maneno ya Diamond iwe fundisho kwa malimbukeni wote

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari Wana jamiforums

Binadamu tunapenda kukumbushwa kuwa sifa na majikwezo sio Mazuri pia usimdharau mtu kwa kukosa kitu

Maneno aliyoongea Diamond na ndugu zake kipindi Wanamuozesha Dada yao Esma yamegeuka na kuwa adhabu na aibu kwa Familia yao

Kipindi Diamond anamuozesha Dada yake yalizuka maneno na kejeli kwa aliyekuwa Mume wa Esma bwana Petiman na kumdharau kwa kuwa hana hela kama walivyo Dai pia Diamond akadiriki kusema wazi wazi kuwa Dada yake yeye hawezi kuolewa na masikini

Sasa Leo yule tajiri waliomnasibu na kijitapa kawatelekeza wao na mtoto wao. Mwanao yupo Hospitali kalazwa hajitambui mume yupo club anakula bata na kumwaga hela kama hana akili vizuri huku akiwa insta live

Diamond acha dharau nina imani Dada yako Mpaka sasa hivi kammiss yule maskini ambae yeye na nyie wote mlimdharau Kwani sasa hivi Dada yenu anahitaji Faraja na upendo sio pesa wa magari
 
Ukumbuke kabla esma hajaumwa, yeye mwenyewe alisema ndoa imemshinda na yuko single
 
Diamond platinum Mimi napenda muziki wake tu,mengine siyajui
 
Mnafatilia sana maisha ya watu ndo Mana mnapata na maajari mabaya

Mwinjaku kikowapi leo
 
Kama kuna kitu tunakosea Watanzania ni hii kuchukiana na kushangilia anguko la kila mmoja wetu.

Not good.

Mungu ampe ahueni aliye hospitali.
 
Duh,karibu kwenye chama cha bitterness because of relationship...kwa lugha nyingine.. donda la rohoooo...ombea lisikupate, some people never recover
 
Team domo wamekamatika😂😂😂😂😂oooh mie sishabikii maisha yake binafsi napenda muziki wake cheki hapa full povu

Esma mwana kuyataka mwana kuyapata kihere here sana kwenye mahusiano yasiyomuhusu.
Bora hata esma kuliko bi mkubwa wake Mama ana madharau Yule sijapata kuona!! Eti ukoo wake umejaa!! Sijawahi kuona ukoo unajaaga!
 
Si unajua tena maskin akipata. Binti walimkaribisha wenyewe halafu wa kwanza kumnyanyasa
Bora hata esma kuliko bi mkubwa wake Mama ana madharau Yule sijapata kuona!! Eti ukoo wake umejaa!! Sijawahi kuona ukoo unajaaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…