abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habari Wana jamiforums
Binadamu tunapenda kukumbushwa kuwa sifa na majikwezo sio Mazuri pia usimdharau mtu kwa kukosa kitu
Maneno aliyoongea Diamond na ndugu zake kipindi Wanamuozesha Dada yao Esma yamegeuka na kuwa adhabu na aibu kwa Familia yao
Kipindi Diamond anamuozesha Dada yake yalizuka maneno na kejeli kwa aliyekuwa Mume wa Esma bwana Petiman na kumdharau kwa kuwa hana hela kama walivyo Dai pia Diamond akadiriki kusema wazi wazi kuwa Dada yake yeye hawezi kuolewa na masikini
Sasa Leo yule tajiri waliomnasibu na kijitapa kawatelekeza wao na mtoto wao. Mwanao yupo Hospitali kalazwa hajitambui mume yupo club anakula bata na kumwaga hela kama hana akili vizuri huku akiwa insta live
Diamond acha dharau nina imani Dada yako Mpaka sasa hivi kammiss yule maskini ambae yeye na nyie wote mlimdharau Kwani sasa hivi Dada yenu anahitaji Faraja na upendo sio pesa wa magari