Tunda alianguki mbali na mti wake, Esma atakuwa demu wa kuchezewa tu kama ......, leo atakojolewa na huyu kesho na yule mpaka wanaume watamchoka hapa mjini, tumewaona kina Wema, Irene Uwoya, Wolper, Tunda, Lulu Diva, Hamisa, etc. walivyofulia.
We mwanamke gani mwenye akili timamu anakubali kuolewa na mtu mwenye wake 3 yeye akiwa beki Na. 4 kama si kujitakia matatizo ya moyo na akili ni nini? Jamaa alitaka tu kumhalalisha ili amchape fimbo takatifu na pengine Esma mwenyewe ndiye aliyemlazimisha amuoe ndipo angempa shoo, jamaa akaona isiwe shida.
Fuska anaoa tu baada ya wiki anatoa talaka kisingizio dini inamruhusu. Matokeo yake jamaa kakojoa na kusepa, Esma karudi pale paleeeeee na Diamond mdomo umezidi kuongezeka kwa mshangao.
Na domo alivyo na kinyongo, sasa hivi na yeye atatafuta mademu wasiojitambua akili awachezee kulipiza kisasi na familia yake ifurahi