Laana ya maneno ya Diamond iwe fundisho kwa malimbukeni wote

Laana ya maneno ya Diamond iwe fundisho kwa malimbukeni wote

Diamond nae na hela yake ya kubadilishia papuchi inampa jeuri sana..
 
Tunda alianguki mbali na mti wake, Esma atakuwa demu wa kuchezewa tu kama ......, leo atakojolewa na huyu kesho na yule mpaka wanaume watamchoka hapa mjini, tumewaona kina Wema, Irene Uwoya, Wolper, Tunda, Lulu Diva, Hamisa, etc. walivyofulia.

We mwanamke gani mwenye akili timamu anakubali kuolewa na mtu mwenye wake 3 yeye akiwa beki Na. 4 kama si kujitakia matatizo ya moyo na akili ni nini? Jamaa alitaka tu kumhalalisha ili amchape fimbo takatifu na pengine Esma mwenyewe ndiye aliyemlazimisha amuoe ndipo angempa shoo, jamaa akaona isiwe shida.

Fuska anaoa tu baada ya wiki anatoa talaka kisingizio dini inamruhusu. Matokeo yake jamaa kakojoa na kusepa, Esma karudi pale paleeeeee na Diamond mdomo umezidi kuongezeka kwa mshangao.

Na domo alivyo na kinyongo, sasa hivi na yeye atatafuta mademu wasiojitambua akili awachezee kulipiza kisasi na familia yake ifurahi
 
Esma si demu wa kuoa, ni wa kuchapa tu na kusepa. Yaani hana tofauti na kaka yake, yeye si mtu wa kuoa ni wa kuchapa tu na kusepa. Tuseme ukoo wao wote uko hivyo....angalia historia ya Mama yao.
 
Kwani Esma anaumw@?..Duuh hata sijui.mnazitoaga wapi hizi info
 
Si unajua tena maskin akipata. Binti walimkaribisha wenyewe halafu wa kwanza kumnyanyasa
Yaani Yule Mama ananyodo sana... Kosa gani Hilo alilotendewa lisilo sameheka! Mungu mwenyewe anasamehe itakuwa yy mwanadamu!!
 
Acha akome, Kama namuona petit na mirinda yake ya baridii akitikisa mguu tu
 
Back
Top Bottom