The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU
Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao..
Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza nguvu na wafuasi na taratibu Elimu hii imekuwa ikipotea.. Lakini usumbufu wa mizimu bado umeendelea kuwepo kwa kiwango kikubwa katika maisha ya wanadamu bila wanadamu wenyewe kujua..
Watu husema mizimu haipo hasa wafia dini lakini wanasahau kwamba sauli alikwenda kwa muaguzi akasema anataka amuinulie roho ya samuel ambaye ni marehemu na ile roho ilivyokuja ikawa inasema mbona unanitaabisha?
Mfano kabila la wahaya huwa wana nyumba maalum (mishonge) hii kwa kilugha zinaitwa (nyaruju), huwa zinakaa zikiwa zimefungwa milango yake.
Kwa lugha nyingine mahali zilipo panaitwa (omukikare) kiswahili inaweza kuwa imaya kizungu (empire). Hapo ukoo wote huwa unajua ndio asili yao ilipo na ndipo roho za wazee (ancestors) zilipo.
Mizimu inawatesa wengi
1: wengine wamevaa bangili za chuma mikononi sababu ya mizimu
2: kuna watoto wameacha shule, kila wakienda shule hawaoni ubaoni, wanaona mauza uza kisa mizimu
3: Mizimu ipo tangu enzi na enzi waoati mwingine ikisaidia na wakati mwingine ikiharibu
Lakini kumbuka kuna mizimu ambayo ni mashetani huvaa mwili wa marehemu ama mtu aliye hai na kuwatokea watu huku ukijifanya mzimu mwema ama mbaya na mzimu huu hukopi kila kitu cha marehemu aliyekuwa hai halo awali kila kitu hukopi na kujifanya ni yeye na mzimu hii inaishi hadi miaka elfu hivyo inazo taarifa zote za mtu tangu yupo tumboni na kufahamu vyema maisha yako yote kwamba atakuwa nani hadi atakapokufa.
Generation nzima ya familia tree yako kuanzia chimbuko la ukoo au kabila fulani mjzimu inazo taarifa zote ndiyo maana wakati mwingine ukikutana na mtu katika tendo la ndoa basi mnaweza kushare mizimu yenu sasa hapo ni balaa lingine maana kuna watu wanaishi na mizimu ya wengine kwa kukutana nao kimwili na mizimu hii imewaletea matatizo makubwa na maumivu yiyopelekea wengine kupoteza maisha.
Tatizo la mizimu haitaki maendeleo, watu wakiendelea watoto watapata elimu na wakipata elimu awatokumbuka kutambika mizimu hapo ndipo shida ya mizimu.
Kuna bangili ukivaa mkononi tu basi mizimu hukukimbia ama majini hukukimbia hii ni kwa sababu mfano kuna binadamu kuna vitu hawapendelei na wakiviona kwako hawasogei mfano kama unafuga nyoka na mwingine hapendi nyoka basi hasogei kwako ndivyo ilivyo kwa majini, wachawi nk kuna vitu navyo awapatani navyo hivyo ili kuwazuia wasikuvae unavaa unatumia vitu wasivyovipenda mfano miti,mimea, vyakula,kemikali,madini.
Mizimu huweza kuvamia na kuzuia nyota yako kufanya kazi ama kuzuia maendeleo yako yoyote ama kukutupia ugonjwa wowote.
Mizimu ambayo mnshare yaani ile mizimu ambayo umeitoka kwa kukutana na mtu kimapenzi hii ni mibaya sana kwani huingia ndani yako na ikiwa haijakupenda basi ni taabu juu ya taabu.
Kwanini kuwa na laana tu za ukoo na sio mafanikio ya ukoo?
Asili yetu wote ni hizi koo ambazo zimetokea kwenye miungu kabla hawajapokea Dini za Mungu mmoja. Hata walipopokea hizi dini za Mungu mmoja haikuwa rahisi kuwatoa kabisa kwenye imani hizo na zinaendelea hadi leo pamoja na kuelimika kijamii na kidini!
Kimsimgi hakuna kitu kinachokosa chanzo na mara nyingi ikiwa ni mababu na wazazi wetu, matambiko na maagano. ..kuna mahali kuna kitu kilikosewa na hakuna akiyekirebisha aidha kwa makusudi au kwa kutojua sometimes ishu za uchawi na ushirikina vikichangia.
Cha kuleta faraja ni kwamba huinuliwa mmoja katika familia kuja kurekebisha hali hiyo..yeye atakuwa tofauti na wengine yeye ataangaziwa kuiona hali ilivyo na atataka kuchukua hatua...huwa ni mmoja tu katika familia.
Sababu ya laana ya mizimu kuna familia moja iliteketea yote na kubaki mama tu!,
Baba aliangukiwa na ukuta na kufa hapo hapo, kaka aliugua kisukari na kufa na mdogo alipata ajali ya boda boda wote walikufa mwaka mmoja.
Mtu akipata matatizo akashindwa kabisa kuyatatua kwa njia yeyote ile basi njia ya mwisho huwa ni kwenda kwenye makaburi ya wazazi/wapendwa wake waliotangulia na kuwaomba wamsaidie,wengi husaidiwa.
Lakini kumbuka chanzo kikubwa cha laana ni dhambi. Hukumu ya dhambi ni mauti (kiroho na kimwili)
Utabiri wa nyoka kila siku, dawa za mvuto, na mapenzi, masomo ya mizimu, uchawi wa vodoo na kama unavifungo ungana na asili ya mwafrica leo
asili ya mwafrica ipo kwajiri yakurudisha samani yamaisha yako