Wakuu habari zenu!
Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana uhalisia katika utekelezaji?
Na kwa nini? Kwa mfano, marehemu aliacha laana ya kuwa fukara kwa mtoto wake na kweli ikatokea. Je, kuna uhusiano gani katika uhalisia wa jambo na maneno ya mtu aliyekufa. Ni kweli wengine huwa na mtazamo wa mbali wa kuweza kufocus jambo na kuliona kabla ya wengine, lakini wengine ni maneno tu! Inakuwaje hapa!
Karibuni
Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
Wakuu habari zenu!
Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana uhalisia katika utekelezaji?
Na kwa nini? Kwa mfano, marehemu aliacha laana ya kuwa fukara kwa mtoto wake na kweli ikatokea. Je, kuna uhusiano gani katika uhalisia wa jambo na maneno ya mtu aliyekufa. Ni kweli wengine huwa na mtazamo wa mbali wa kuweza kufocus jambo na kuliona kabla ya wengine, lakini wengine ni maneno tu! Inakuwaje hapa!
Karibuni
Wakuu habari zenu!
Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana uhalisia katika utekelezaji?
Na kwa nini? Kwa mfano, marehemu aliacha laana ya kuwa fukara kwa mtoto wake na kweli ikatokea. Je, kuna uhusiano gani katika uhalisia wa jambo na maneno ya mtu aliyekufa. Ni kweli wengine huwa na mtazamo wa mbali wa kuweza kufocus jambo na kuliona kabla ya wengine, lakini wengine ni maneno tu! Inakuwaje hapa!
Karibuni
Usiotee maneno Mungu akupe laana ya kazi gani?Kiukweki kabisa laana ipo na laana haitoki kwa mzazi tu inatoka kwa mungu. Kwa mfano kijana hukuwatendea vyema wazazi wako na mnatofautiana kwa namna moja ama nyengine na mzazi hariziki kutokana na tabia yko au hali hiyo. Na mzazi anakupenda mwanawe hali ya kuwa anaumia moyoni. Na kukupa lana hawezi kwa upendo wake. Bs automatic mungu anakulaanu na inakupata laana ile. Kwa upande wa pili unamkuta mzazi anampa laana mwanawe kakin haimpati laana ile kwakua si kila anachosema mzazi nimekulaani ndo ukalaaniwa. Hutegemea na matendo yko je yanamridh mungu ama laa. Na maana mzazi hutamka tu nimekupa laana lakin mungu ndie anaekupa laaana.
I think laana/curse is a Bad Karma (what goes around, comes around) since energy can not be created nor destroyed. If you radiate negative energy I believe it will be back for you or even your generations and vice versa is also true. This is Physics.
Umewezaje kusoma na kuchanganua alafu ushindwe kuandika Kiswahili? NADHANI HUKUTAKA BAADHI YETU TUKUELEWE, ASANTE!