Laana ya mzazi(Radhi): Ni kweli kuna kitu hicho?

Laana ya mzazi(Radhi): Ni kweli kuna kitu hicho?

Wewe na mali zako vyote ni mali ya wazazi wako,kwa iman yetu hata pepo ipo chini ya wazazi.... YALE MACHUNGU ALIYOPITIA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO NDO SERTIFICATE YA LAANA.
N:B
KAMA MZAZI AJAHUSIKA NA MALEZI YA MWANAWE HAKUNA LAANA.
 
Kama hujamkosea mzazi hakuna laana.

Na laana hairithiwi yaani ya baba yako haiwezi kua kwako.
"Lakini ninyi mwasema, Kwani yule mwana asiuchukue uovu wa baba yake? Yule mwana atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu na kuzitenda, hakika ataishi. Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake. -------- "Ezekieli: 18: 20-22
Vichekesho vingine bwana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mbona mnasemaga kuwa mmerithi dhambi kutoka kwa babu yenu Adam na bibi yenu hawa?
 
Back
Top Bottom