Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

Laana ya Mzee Abduli imeanza kumpiga mtu

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
 
Kwa sasa yule uncle shamte ndy akiongea dua baya kwa diamond inampata.
Na sio Mzee Abdul.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bmkubwa aliyebebeshwa mimba si keshasema mzee Abduli sio dingi ya jamaa!
 
'
20210608_164953.jpg
 
Kwahiyo nyie mlitaka diamond aongoze milele. Kwani hata akipolomoka kutakuwa na tatizo gani? Wasanii ni wengi zaidi ya laki na wao wanataka wawe juu kama yeye. Sasa akiendelea kuwa juu yeye tu wengine watafanikiwa vipi.

Diamond bora ufe umesimama kuliko kuishi huku umewapigia magoti watanzania.
 
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli amuombe razi. Kabla mzee hajaaga dunia.
Kama laana zingekuwa kweli basi angekwishakuanguka toka miaka kadhaa aisee. Jamaa kama kusemwa vibaya kaanza semwa vibaya tangu miaka nane iliyopita.
Niliona mzee abdul anasema Eid alipokea mzigo kwenye simu wakati bado anatafakari mara simu ikapiga kupokea anauliza nani anaambiwa mimi mwanao Nassib mzigo umeuona, mzee anauliza nassib gani, anajibiwa mwanao kumbe diamond.
 
Back
Top Bottom