Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Walegeze sheria za uzazi ili kuijaza tena nchi.Kwa Sasa nchini China watu wenye umri Wa miaka 35 wanakutana na laana ya kuwa na umri huo.
Kwa sasa wachina wengi wenye umri wa miaka 35 wanakumbana na tishio la kukosa ajira ama mikataba yao ya ajira kutokuongezwa kutokana na kuonekana kuwa wana umri mkubwa.
Uchina ambayo kwa sasa ina utamaduni wa kufanyakazi kuanzia saa tatu Asubuhi mapaka saa tatu usiku, unaojulikana kwa jina la "996", imekumbwa na shinikizo la kufanya kazi Kwa masaa mengi Ili kukidhi uhitaji wa bidhaa na huduma kwenye soko la China na nje ya China.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Kuna kitu sijakielewa. Kama nguvu kazi ni chache mpk kufikia kuongeza muda wa kazi inakuwaje mtu wa miaka 35 akaonekana hafai kuwa kazini wakati kuna uhitaji wa nguvu kazi?
Watu wapo Wa kutosha. Wenye elimu hitajika wapo, wenye ujuzi mkubwa kwa kazi husika wapo wa kutosha.Walegeze sheria za uzazi ili kuijaza tena nchi.
Sababu ni nini ?Shida ni kwamba wenye umri wa miaka 35 na kuendelea wanaonekana hawana stamina na Kasi ya kufanyakazi inavyotakikana.
I was thinking in the same lineKuna kitu sijakielewa. Kama nguvu kazi ni chache mpk kufikia kuongeza muda wa kazi inakuwaje mtu wa miaka 35 akaonekana hafai kuwa kazini wakati kuna uhitaji wa nguvu kazi?
Great thinkerI was thinking in the same line
Sababu kubwa zipo tatu.Sababu ni nini ?
Zishalegezwa muda mrefu ila tatizo ni gharama za kuwatunza hao watotoWalegeze sheria za uzazi ili kuijaza tena nchi.
miaka 35? kwa nini akose ajira au ulimaanisha miaka 55?Kwa sasa nchini China watu wenye umri wa miaka 35 wanakutana na laana ya kuwa na umri huo.
Kwa sasa Wachina wengi wenye umri wa miaka 35 wanakumbana na tishio la kukosa ajira ama mikataba yao ya ajira kutokuongezwa kutokana na kuonekana kuwa wana umri mkubwa.
Uchina ambayo kwa sasa ina utamaduni wa kufanyakazi kuanzia saa tatu Asubuhi mapaka saa tatu usiku, unaojulikana kwa jina la "996", imekumbwa na shinikizo la kufanya kazi kwa masaa mengi Ili kukidhi uhitaji wa bidhaa na huduma kwenye soko la China na nje ya China.
Wakati bongo kuna msela ali graduate akiwa na 25 na still at 35 anatembeza CV manina.Miaka 35 china ni wazee[emoji28] hadi hawahitajiki kama nguvu kazi.
kwahiyo kina kajala na miaka yao 40 si ndio watakuwa maajuza wakati huku ndio wanajiona ma slay queenMiaka 35 china ni wazee[emoji28] hadi hawahitajiki kama nguvu kazi.
Huyo kashapiga kazi 996 tangu akiwa na miaka 12 sio huku bongo unaanza kazi una miaka 30+ tena unaanza saa 2 asubuhi saa 10 JIONI kazi umemaliza overtime mwisho saa 2 usikuMiaka 35 china ni wazee[emoji28] hadi hawahitajiki kama nguvu kazi.
Waanza kazi wakiwa wadogo 35 washachoka wapishe madogo wengine waingie kaziniWakati bongo kuna msela ali graduate akiwa na 25 na still at 35 anatembeza CV manina.