Laana ya viapo inavyowatafuna

Laana ya viapo inavyowatafuna

Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Hakuna kitu kama hicho. Mi sioni kama vile viapo vinawaathiri kwa namna yoyote wakienda kinyume. Zaidi naona wanazidi kuneemeka tu.
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Kuna mijitu Haina viapo na ni mijizi, matapeli, mikahaba, mivivu, majungu nk

Na hao wanawekwa kundi gani
 
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.

Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.

Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari, kukosa nguvu za kiume, kansa, watoto kuharibikiwa kwa ulevi na dawa za kulevya pamoja na ushoga.

Nini suluhisho.

ALAMSIKI
Na wakifa wanaenda motoni
 
Ndio maana vile vitabu vinaanza kudharaulika.

Ni kama havina nguvu ile tunayoambiwa inavyo.

Devine Power kwenye vile vitabu ni Utapeli tu mi naona.

Maana wanavitumia kuapa ili kuagana na kuahidi Uaminifu. Lakini wanavunja na hakuna kitu kinawapata.
Ndio tujiulize sasa🤔
 
Kuna siku tutawakamua kama hivi
b1b82a513f9b2821fa85c8147ce27c40.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom