melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Kwa nini una isulubisha nchi nzima kwa kosa la watu wachache?
Mbona una penda kuilaani nchi yako!
Hapo wewe ulipo umekosa nini mpaka Mwenye Enzi Mungu akuadhibu kwa ajili ya vifaranga vilivyo fia airport?
Kuna watu walio husika kwenye sakata lote hili wao ndio wata adhibiwa na Mwenye Enzi Mungu ipasavyo walahi!
TUJIFUNZE KUINENEA MEMA NCHI YETU TANZANIA [emoji1241]
KILA WAKATI!