Hapa nitakesha lakini nisaidie kujibu hili swali: katika amri zote kumi ni ipi inayosema kuua mnyama ni dhambi na kufanya hivyo ni laana?Binadamu huwa tunajiona ni bora kuliko viumbe wengine na hudhani tuna haki mbele za Mungu kuliko viumbe wengine ambao na wameumbwa na Mungu. Si kweli hata kidogo na haya ni matokeo ya kutafsri vibaya maandiko matakatifu.
Kwa jinsi wakulima kuku wanavypoteza vifaranaga katika mabanda,Bora Uzi huu ufutwe.Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja.
Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda bure, na hivyo tujiandae kulipa gharama za dhambi ilioyofanyika. Tutaadhibiwa kama nchi au wahusika wenyewe ndio watakaodhibiwa moja kwa moja kutokana na maamuzi waliyoyafanya.
Nature inaweza kutushushia pigo lolote na mapigo ya aina hii yanaweza kuwa ni ukame, njaa, tetemoka au majanga mengine ya asili na tusielewe kuwa chanzo ni laana ya viumbe hawa.
kuna pigo la moja kwa moja linaweza kuwatokea wafanya maamuzi, pigo ambalo nikilitaja au kulifafanua, uzi unaweza kuondolewa hivyo sitasema chochote kuhusu hilo pigo ila kila mwenye akili mpaka hapa atakuwa ameelewa.
Sometimes Mataifa kama US hukumbwa na majanga ya asili kama vimbunga, n.k, sababu inaweza kuwa ni matokeo ya watawala katika nchi zao kuvamia nchi nyingine kwa visingizio mbalimbali na kuua watu wasio na hatia na kuwaacha wengine na vilema vya kudumu.
Laana sio ya paka tu bali hata viumbe wengine wana laana mbaya.
Muda utaongea.
Naunga mkono hoja.Kwa jinsi wakulima kuku wanavypoteza vifaranaga katika mabanda,Bora Uzi huu ufutwe.
TUnasubiri mkuu huku tukiiombea toba Tanzania yetuVyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja.