Lab Technician natafuta kazi

Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini.

Asanteni.
Kuna kampuni wanaitaji lab tech, text whatsap 0699256064..ntakutumia uapply huko, ujaribu bahati yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…