Labda anitekenye

Yaani nimemcheka Steve mweusi kaulizwa picha ya Kiba akaijua kapewa 10,000
Picha nyingine kaona mmoja kavaa suti akaanza huyu wa serikali huyu
Yaani kashindwa kumjua waziri wake wa ndani?
Hapo ndio kanichekesha
Ila hakuna wachekeshaji bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…