Labda anitekenye

wengi wa bongo si wachekeshaji ni wafurahishaji tu, na hapo pia kuna siku na siku, kuna movie ukimtizama mkojani utatabasamu na kuna movie unajiuliza ndio yule alinifanya nitabasamu jana..🤔
Wanaishiwa vichekesho?
 
Kuna kijana mmoja mbongo nimeona baadhi ya clip, anafanya ile musical, anachekesha kwa njia ya nyimbo anajitahidi sana, sijajua kama ndiyo style yake au amechomekea tu..
Sema ubunifu umepungua
 
Comediqn wengi wa kibongo ni kama wanavichekesho vya watoto wadogo, you can’t relate.. na mada zao … pengine wana niche yao wanayo i target

Stand up comedy.
Kat william
Eddie griffin

Bongo
Joti
Majuto

St comedy
Leonardo.
🤣🤣Ubuntu botho
 
kucheka kunaanzia kwenye mapokeo ya ubongo wako
If you aint ready you aint tu
 
Wachekeshaji wengi wa Tanzania hawajui kuchekesha. Angalau hizi skits zimekuja kuwaokoa. Kwenye skits ni hit-or-miss.

Bongo kwenye sanaa ya uigizaji / uchekeshaji hakuna quality bali quantity, tuna watu wengi wanaojiita wachekeshaji kushinda wachekeshaji wenyewe.

Ukifuatilia majukwaa kama Watu Baki, Cheka Tu: mada zao kwa 70% ni ngono. Uchekeshaji wao lazima wahusishe ngono, wanachowasilisha ni kama kimelenga aina fulani ya hadhara: watu wa hovyo.
 
NAKAZIA
 
Wanaonichekesha
Leonardo
Dullah
Ndaro
Mpoki
Ringo
 
Sijacheka toka 2013 na sina mpango wa kucheka hivi karibuni .Niko kwenye mapambano vita.
 
Kwa hapa bongo comedians ambao nawazingatia ni

Kishop master
Ndaro
Mwanya

Hawa wananiFURAHISHA na sio kuchekesha ila waliobaki........ Hamna kitu
 
Sure hawana content za kuchekesha waoni kuzungumzia mapenzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…