Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #61
Wanaishiwa vichekesho?wengi wa bongo si wachekeshaji ni wafurahishaji tu, na hapo pia kuna siku na siku, kuna movie ukimtizama mkojani utatabasamu na kuna movie unajiuliza ndio yule alinifanya nitabasamu jana..🤔