Labda anitekenye

Labda anitekenye

Watu wanaoweza kunichekesha ni wachekeshaji wa Genre ya Black Comedy tofauti na hapo sicheki naona anaigiza utoto.
Baadhi ya muvi na series za black comedy ni
  • The Dictator
  • The boys (series)
  • You don't mess with the Zohan
  • Breaking Bad
  • Better Call saul
  • Game of thrones
 
Kaka ngoja nianze kuwafuatilia maana ata kuna watu jf wanachekesha
 
Ndo huyo huyo jamaa hana kipaji cha kuchekesha wala nini nikimuangalia ananipa hasira tu.
Kwanza hana maadili kabisa kwa matusi yake na hafai kabisa
Ni mpumbavu mmoja anaejiona anachekesha
Na wanamuacha
Hapendezi kuwa mchekeshaji akatengeneze ngono tu labda
 
kusema ukweli mi waliowahi kunichekesha ni Mr. bean na Charlie Chaplin tena ni kwa miaka hiyo sidhani kwa sahivi kama wanaweza nichekesha tena,
hawa wabongo hakuna kitu wanawachekesha washamba waliowazidi IQ, nje na hapo hawawezi,
wa bongo kidogo Mpoki, Masanja na joti walijaribu kwa enzi zile, kwa wasasa hivi hakuna bora Dula anajitahidi kwenye standing comedy
 
Proffesor Harmo ni mkali, Kuna kokolo,wale team varshita na hata hubaloo estate.
Wote wa Churchill Show ni wakali sana yaani afadhali niwaangalie Kenya kuliko bongo
Naona wachekeshahi wa bongo ni kwa ajili ya watoto 😄 🤣 maana mtu mzima huwezi kucheka
Hullabaloo 😄 hao vichaa wengine
 
Wote wa Churchill Show ni wakali sana yaani afadhali niwaangalie Kenya kuliko bongo
Naona wachekeshahi wa bongo ni kwa ajili ya watoto 😄 🤣 maana mtu mzima huwezi kucheka
Mi Comedy series napenda za kikenya, za wabongo ni Ile mwantumu tu.

Kenya Kuna comedy za varshita, njoro wa uba, hubaloo estate, kibanda Cha mazaga zaga.
 
Binafsi nikiangalia comedy za Mr. Beneficial hapo lazma nicheke.

Hawa wabongo wengine sion kama wanavipaj.
 
Back
Top Bottom