Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck.
But Azam Max au ukitumia website inakuwa na changamoto sana. Haipo smooth. Ina stuck sana. Iwe kwa simu au kwa laptop. Nlitaka kujua tatizo linaweza kuwa nini. Nimejaribu ku update apps zote bado matokeo ya Azam si mazuri kabisa.