Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Kama Bayern akishinda mechi na kwenda Fainali, ticketi yangu ya Milan naigawa bure, namchukia Guardiola kama nini, sema tu hafikii navyomchukia Benitez.
Mpira burudani ambayo inalenga kuondoa chuki ,dont make it too personal najua kakufunga mara nyingi
 
Ni mawazo yko diego simeone anajua ku deal n team zinazomiliki mpira kumbuka atletico sio juve akikutangulia goli mbili mechi imeisha n bayern licha ya kuwa na washambuliaji wakali kule kwny mabeki kuna vuja sana
mkuu hata 1st leg kama uliangalia vizuri AT walimilikiwa sema Bayern hawakua tu na bahati
 
Mpira burudani ambayo inalenga kuondoa chuki ,dont make it too personal najua kakufunga mara nyingi

Siyo personal man, ni ushabiki tu.

Kuna furaha flani inakuja pale kocha au timu isiyofungwa mara kwa mara inapofungwa, mimi huwa ni mshabiki pinzani wa zile timu zinazoonekana kushinda mara kwa mara, I do favor the underdogs.

Bifu la Benitez ndo personal, alimuuza Alonso na kuniharibia kikosi cha LFC!
 
Ndani ya dakika kumi za kwanza bayern atakuwa amerudisha goli dakika kumi na tano baadae goli la pili kabla ya kwenda half time bayern Munich 3 atletico 0
 
Kombe haliwezi kwenda Spain kwa mara ya tatu mfululizo bingwa bayern au man City
 
Victoire kama Ronaldo atakuwa fit kushiriki mechi zilizobaki basi bingwa ni Real Madrid lakini hao Atletico Madrid ni moto wa kuotea mbali. EURO Cup nitazuka timu yangu ya kwanza ni ya kwa mama I hope yule Jamie Vardy atafanya mavitu yake akishirikiana na wenzie ikifuatiwa na France bado natafuta timu moja ya kushangalia labda nitaongeza Sweden

hahahhaa Atletico ndo bingwa,mwekundu nimekumiss soon EURO CAP hope Katavi ,BAK na wengine woooote hamkaa mbali,10 th of June mpaka July
 
Victoire kama Ronaldo atakuwa fit kushiriki mechi zilizobaki basi bingwa ni Real Madrid lakini hao Atletico Madrid ni moto wa kuotea mbali. EURO Cup nitazuka timu yangu ya kwanza ni ya kwa mama I hope yule Jamie Vardy atafanya mavitu yake akishirikiana na wenzie ikifuatiwa na France bado natafuta timu moja ya kushangalia labda nitaongeza Sweden
Mkuu Alianza Arena AT hachomoki
 
Atletico wamekuwa too defencive,hicho ndio kitakacho wagharimu..
 
Back
Top Bottom