Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Okay tutawaona kesho halafu hili la kuweka hadharani wachezaji wanne au watano ambao inadaiwa hawatarudi msimu ujao lilikuwa ni kosa kubwa sana. Kama timu haichezi tena kwa ari kubwa kama ilivyotegemewa.
Yaani Hilo ndo kosa kubwa sana ambalo Timu nyingi wanafanya at least hata wawe wanasubiri mwishoni mwa msimu ndo waseme.
 
Reactions: BAK
Aaah
Mimi pia ni shabika wa real ila naona cyo fair vijana wamtoe barca na bayern alaf cyw tuwatoe roma na woflsburg ndo tuchukue ubingwa!!! Itakuwa kama cyo fair hvi
Ulichikisema kama upo kichwani mwangu. Huu ubingwa wanastahili ATM hata kama na mimi ni shabiki wa R.Madrid. ATM wamefanya shughuli kubwa sana
 
Aaah
Mimi pia ni shabika wa real ila naona cyo fair vijana wamtoe barca na bayern alaf cyw tuwatoe roma na woflsburg ndo tuchukue ubingwa!!! Itakuwa kama cyo fair hvi


Mi napenda sana mkuu semion abebe ndoo japo naishabikia madrid wao walishachukua na ni mabingwa wa kihistoria haiwezekan atletico wafike final mara mbili watoke kapa ila sijui kama zizou akifanikiwa nae kupita kama ataliachia
 
Kwa kweli Maandiko yametimia humuinua mnyonge toka mavumbini na kumketisha na wakuu........ATM Woyooooooooooooooooo!!!!!! .......Man City Woyoooooooooooooo!!!!!
Leicester woyooooooooo!!!!
We mpira sio dini kama team yako haijiwezi haimaanishi ni mnyonge umeonewa
 

Kuna wakati watu hutamani kufuta maneno na manuizo waliyoyatoa sema tatizo bei ya mkaa!
 
Piga nyagi kubwa ya briiiidi ulale, mpira hauendagi unavyofikiri.

Bayern walikuwa na high expectation kitu kilichoharibu mipango yao yote
Ha ha Mungu ndo amewaokoa AT kwa goal la away
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…