Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Okay tutawaona kesho halafu hili la kuweka hadharani wachezaji wanne au watano ambao inadaiwa hawatarudi msimu ujao lilikuwa ni kosa kubwa sana. Kama timu haichezi tena kwa ari kubwa kama ilivyotegemewa.
Madrid wamenunua...mechi si bure!
 
I don't know everlenk IMO this will very boring game.
Chaaaaa!!!! Ngoja nishangae kimasai kwanza hahahaha sasa huwezi amini litakuwa bonge la game hujapata ona huku Man City anataka kuitoa kimasomaso England huku ATM anataka kumantain heshima ya Spain. ..........aiseee yaani toka uvungu wa moyo Wangu naomba hili litokeee.
 
Kuna wakati watu hutamani kufuta maneno na manuizo waliyoyatoa sema tatizo bei ya mkaa!
Mkuu haina bei ya mkaa rejerea neno la kwanza la heading(Labda ...... away goal ni goli na mezani effortless)
 
Story ya Leicester hata Messi kaifagilia maana hawa msimu uliopita almanusra washuke daraja lakini michezo yao nadhani mitano ya mwisho wakaanza kufanya mavitu yao na kuendeleza MO (momentum) ya msimu uliopita hadi msimu huu.
Nawapenda kuwaangalia hawa wanacheza kama timu na pia wanajituma sana.

Kwa kweli Maandiko yametimia humuinua mnyonge toka mavumbini na kumketisha na wakuu........ATM Woyooooooooooooooooo!!!!!! .......Man City Woyoooooooooooooo!!!!!
Leicester woyooooooooo!!!!
 
Kwenye mpira hamna mnyonge hizi ni Lugha za kufurahisha mjadala tu,ndo maana tunasema mpira unadunda,lolote laweza kutokea ni jinsi ya kutumia chansi vizuri tu
Nimekusoma best tunafurahisha genge
 
2e1c2933934648fb2bcf88b05b5eefd7.jpg

Diego Simeone
"El Cholo"
 
Story ya Leicester hata Messi kaifagilia maana hawa msimu uliopita almanusra washuke daraja lakini michezo yao nadhani mitano ya mwisho wakaanza kufanya mavitu yao na kuendeleza MO (momentum) ya msimu uliopita hadi msimu huu.
Nawapenda kuwaangalia hawa wanacheza kama timu na pia wanajituma sana.
Duhhh!!!! Ila Timu zetu zimetia aibu yaani pyuuuuu!!!! Ngoja tujipange msimu ujao,ila nyie aisee bila Wenger kasi mliyokuwa mmeianza Hakika mlitakiwa muwe mabingwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu haina bei ya mkaa rejerea neno la kwanza la heading(Labda ...... away goal ni goli na mezani effortless)

Ila limewekwa kwa mujibu wa sheria...tukubali tu kwamba haitoshi kuwa mwalimu mzuri tu bali na uwezo binafsi wa wachezaji unachangia...Masikini Gurdiola na kujiapiza kote akitolewa wamuue, wajerumani wakiamua kumfanya hakuna kuna kesi kweli?
 
Ok labda kama wacheza wanaweza kuamua kujituma hivyo kulinda reputation zao kama wacheza na pia kuushangaza Ulimwengu wa soka.

Back
Top Bottom