TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Madrid wamenunua...mechi si bure!Okay tutawaona kesho halafu hili la kuweka hadharani wachezaji wanne au watano ambao inadaiwa hawatarudi msimu ujao lilikuwa ni kosa kubwa sana. Kama timu haichezi tena kwa ari kubwa kama ilivyotegemewa.
Chaaaaa!!!! Ngoja nishangae kimasai kwanza hahahaha sasa huwezi amini litakuwa bonge la game hujapata ona huku Man City anataka kuitoa kimasomaso England huku ATM anataka kumantain heshima ya Spain. ..........aiseee yaani toka uvungu wa moyo Wangu naomba hili litokeee.I don't know everlenk IMO this will very boring game.
Piga nyagi kubwa ya briiiidi ulale, mpira hauendagi unavyofikiri.
Bayern walikuwa na high expectation kitu kilichoharibu mipango yao yote
Kwenye mpira hamna mnyonge hizi ni Lugha za kufurahisha mjadala tu,ndo maana tunasema mpira unadunda,lolote laweza kutokea ni jinsi ya kutumia chansi vizuri tuWe mpira sio dini kama team yako haijiwezi haimaanishi ni mnyonge umeonewa
Kwa kweli Maandiko yametimia humuinua mnyonge toka mavumbini na kumketisha na wakuu........ATM Woyooooooooooooooooo!!!!!! .......Man City Woyoooooooooooooo!!!!!
Leicester woyooooooooo!!!!
Jamaa alimuona pep anatengeneza njia ya fainalKuna wakati watu hutamani kufuta maneno na manuizo waliyoyatoa sema tatizo bei ya mkaa!
Hahahaha, bora ufanze namna hiyo at least isipotee jumlawe furahi tu! .....
nataka kesho asubuhi niuchemshe na chai.......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenifurahisha mkuuChali mfupa alio ushindwa barca bayern hawezi tafuna. shikamoo diego simone!@!!!!!
Wanaweza kuwa mabingwa I can bet maana siioni team yakuwazuia baada ya Buyern
za kipuuzi kweli yani imagine mkeka unaaribika because of sheria ya kijinga acha tu nikalale manake naweza kukumbatia transformer nife bure!
Bila fitina na wakiamka vizuri siku hiyo Atletico Bingwa Ulaya...!Chali mfupa alio ushindwa barca bayern hawezi tafuna. shikamoo diego simone!@!!!!!
Duhhh!!!! Ila Timu zetu zimetia aibu yaani pyuuuuu!!!! Ngoja tujipange msimu ujao,ila nyie aisee bila Wenger kasi mliyokuwa mmeianza Hakika mlitakiwa muwe mabingwaStory ya Leicester hata Messi kaifagilia maana hawa msimu uliopita almanusra washuke daraja lakini michezo yao nadhani mitano ya mwisho wakaanza kufanya mavitu yao na kuendeleza MO (momentum) ya msimu uliopita hadi msimu huu.
Nawapenda kuwaangalia hawa wanacheza kama timu na pia wanajituma sana.
Mkuu haina bei ya mkaa rejerea neno la kwanza la heading(Labda ...... away goal ni goli na mezani effortless)
Adui muombee njaa ,Madrid hawa watu hawawataki hati kusikia tena ile ya Zizzou kocha asiekua na uzoefu wanawang'oa mapema....,Man city ndo hohehahe kabisa labda mkono wa Mungu uwabebeUsishabikie mpira kwa kukariri
Fundisho kwako mkuu
Chaaaaa!!!! Ngoja nishangae kimasai kwanza hahahaha sasa huwezi amini litakuwa bonge la game hujapata ona huku Man City anataka kuitoa kimasomaso England huku ATM anataka kumantain heshima ya Spain. ..........aiseee yaani toka uvungu wa moyo Wangu naomba hili litokeee.