Ile ni lugha ya ki sports halafu game kashinda sema away goal ndo imemuondoaIla limewekwa kwa mujibu wa sheria...tukubali tu kwamba haitoshi kuwa mwalimu mzuri tu bali na uwezo binafsi wa wachezaji unachangia...Masikini Gurdiola na kujiapiza kote akitolewa wamuue, wajerumani wakiamua kumfanya hakuna kuna kesi kweli?
Ile ni lugha ya ki sports halafu game kashinda sema away goal ndo imemuondoa
Duhhh!!!! Ila Timu zetu zimetia aibu yaani pyuuuuu!!!! Ngoja tujipange msimu ujao,ila nyie aisee bila Wenger kasi mliyokuwa mmeianza Hakika mlitakiwa muwe mabingwa
Tuachane na sheria ya away goal tuchukue matokeo hivyo hivyo yalivyo ina maana ni draw so bado Bayern hajashinda .........Bayern Chaliiiii ......Atheltico beibiiii.....hahahaha hili game halihitaji hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile ni lugha ya ki sports halafu game kashinda sema away goal ndo imemuondoa
Tuachane na sheria ya away goal tuchukue matokeo hivyo hivyo yalivyo ina maana ni draw so bado Bayern hajashinda .........Bayern Chaliiiii ......Atheltico beibiiii.....hahahaha hili game halihitaji hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaahhaha aiseee kweli mnahitaji mabadiliko!!!Nina mpango wa kuacha kuishangilia Arsenal mpaka AW atakapoondoka nitabaki kuwa mshabiki tu asiye na timu
Hahaahhaha aiseee kweli mnahitaji mabadiliko!!!
Kweli,mtokeo tunayo mkononi nowUzuri haya maandishi hayafutiki basi tusubiri hiyo siku panapo uhai.
Samahani,namaanisha fainali ni Real na Atleti na bingwa ni AtletiMaujanja ya Simeone yamesaidia.
Tangu akichezea Lazio huyu bwana ni mjanja mjanja hivi hivi!
Mechi ya kwanza ilipoisha wakati anahojiwa alisema atakuwa na hard time allianz arena jamaa wakiwa na muziki wa mashabiki wao ila atatafuta bao la ugenini na kudefend vizuri..and that is exactly ilivyotokea!
Ni mjanja mjanja sana huyu bwana mumzoee tu na siku ya fainali Zizou na huyu bwana wawekewe mabaunsa wasije fanya vurugu maana wote wawili vichwa mwamba geu!
Safari hii hata kombe mbuzi mmekosaTena mabadiliko makubwa sana ambayo huyu AW hawezi kuyasimamia tutabaki kugombania nafasi ya nne kila msimu ili tu tushiriki UEFA. Tunataka makombe yenye hadhi sasa siyo vikombe mbuzi.
kareonke mwenzenu ana ridhika na mwenendo wa tim, ye ako kibiashara zaid, kwa kweli sioni wenger akiondoka Arsener Fc hivi karibuniTena mabadiliko makubwa sana ambayo huyu AW hawezi kuyasimamia tutabaki kugombania nafasi ya nne kila msimu ili tu tushiriki UEFA. Tunataka makombe yenye hadhi sasa siyo vikombe mbuzi.